Hii Dunia ni ndogo sana hawa DKT BASHIRU ALLY na POLEPOLE walifikiria watakuwa viongozi wa maisha.
- Ilifika wakati walikuwa wanatoa hongo na kununua wapinzani hasa wabunge na madiwani.
- Waliahidi vyeo kwa wapinzani wanaokuja CCM bila kujali uwezo wao na nchi kwa ujumla
- Walirekodi wananchi binafsi ambao ni wataafu na wabunge waliowaona kama wapinzani. Hizi rekodi za simu zao ni bila kufuata sheria! lakini walitoa maaagizo hayo
- Waliaribu uchaguzi wa Tanzania 2020 kwa kutoa maelezo kwa polisi na usalama waibe kura
- Walitaka nchi yetu isiwe na vyama vya upinzani kabisa kinyume na sheria
- Walitaka turudi kwenye ujamaa na kujiweka karibu ya vyama vya kikandamizaji vya China
- Waliwadharau Madaktari kwenye Corana mpaka tukapoteza viongozi wengi wa juu
- Wapinzani walikuwa maadui mpaka kupigwa risasi na kukimbia nchi
Dunia tenda wema Sasa Kinana karudi, Magufuli kafariki, Membe kasamehewa, Ridhiwani waziri, Nape waziri na Makamba waziri!!!