Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 4,783
- 14,975
Kujiandikisha na kuboresha taarifa zako kwenye Daftari la Kupiga Kura ni hatua muhimu ya kutimiza Haki yako ya Kikatiba ya Kidemokrasia. Ukijiandikisha unakuwa na uhakika wa kushiriki kwenye mchakato wa kuwapata Viongozi Bora wa Nchi na Jimbo lako.
Anasema Dkt. Anna Henga ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC)
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025