GE2025 Dkt. Albanie: Polepole anataka kuharibu Uchaguzi, apuuzwe

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,499
Aliyekuwa mtia nia wa ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika jimbo la Mvomero mkoani Morogoro, Dkt. Albanie Marcossy, amejitokeza na kumtaka hadharani mwanachama wa chama hicho, Humphrey Polepole, kupuuzwa na wanachama wengine kwa madai kuwa kauli zake za hivi karibuni zimejaa "vihoja vya kuungaunga" vinavyolenga kuidhoofisha demokrasia nchini.

Akizungumza na waandishi wa habari siku ya Ijumaa kufuatia kauli mbalimbali ambazo zimekuwa zikitolewa na Polepole Dkt. Marcossy amesema: “Huenda kuna visa na visasi nyuma yake, kuna vitu alivitarajia vifanyike havijafanyika, na kwasababu hiyo anadhani anaweza kutumia umma kutingisha au kuudhoofisha mchakato wa kidemokrasia wa kufikia uchaguzi na kufanya uchaguzi. Huenda kuna walengwa nyuma yake, na ndiyo maana ameanza kuropoka sasa na kutaja baadhi ya majina ya watu”.

Kwa mujibu wa Marcossy, kauli za Polepole zinafanana na zile zilizokuwa zikitolewa na baadhi ya wanaharakati na vyama vya upinzani vilivyopinga kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu mwaka huu. Amesema kauli hizo ni jaribio la kumchafua Rais na kutaka CCM igeuke dhidi ya utaratibu wake wa uchaguzi.

Amesisitiza kuwa uchaguzi ni msingi wa demokrasia na kwamba Polepole anapaswa kupuuzwa kwa kuwa hana tena mchango chanya kwa chama.

Polepole, ambaye alijiuzulu hivi karibuni kutoka nafasi ya ubalozi nchini Cuba, alitoa waraka mzito akilalamikia kile alichokiita “kukosekana kwa haki ndani ya CCM” na “ukiukwaji wa desturi za chama”, na tangu wakati huo amekuwa akijitokeza kuzungumzia mambo mbalimbali yanayoihusu CCM.

Wakati baadhi ya wapinzani wakimpongeza kwa ujasiri, ndani ya CCM anatajwa kuzidi kupoteza mvuto na kupewa sifa ya kuwa msaliti wa itikadi.

Video: Jambo TV
 
Huyu Albanie ni
FB_IMG_1748360197313.jpg
 
Japo haisemwi, lakini nadhani Tanzania kuna watu ni madokta wa uhayawani. Huyu anajiita Dr, halafu sikiliza upuuzi aliousema. Dr gani anashindwa kujibu hata hoja moja ya Polepole, badala hake anabakia kubwabwaja tu!
 
Aliyekuwa mtia nia wa ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika jimbo la Mvomero mkoani Morogoro, Dkt. Albanie Marcossy, amejitokeza na kumtaka hadharani mwanachama wa chama hicho, Humphrey Polepole, kupuuzwa na wanachama wengine kwa madai kuwa kauli zake za hivi karibuni zimejaa "vihoja vya kuungaunga" vinavyolenga kuidhoofisha demokrasia nchini.

Akizungumza na waandishi wa habari siku ya Ijumaa kufuatia kauli mbalimbali ambazo zimekuwa zikitolewa na Polepole Dkt. Marcossy amesema: “Huenda kuna visa na visasi nyuma yake, kuna vitu alivitarajia vifanyike havijafanyika, na kwasababu hiyo anadhani anaweza kutumia umma kutingisha au kuudhoofisha mchakato wa kidemokrasia wa kufikia uchaguzi na kufanya uchaguzi. Huenda kuna walengwa nyuma yake, na ndiyo maana ameanza kuropoka sasa na kutaja baadhi ya majina ya watu”.

Kwa mujibu wa Marcossy, kauli za Polepole zinafanana na zile zilizokuwa zikitolewa na baadhi ya wanaharakati na vyama vya upinzani vilivyopinga kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu mwaka huu. Amesema kauli hizo ni jaribio la kumchafua Rais na kutaka CCM igeuke dhidi ya utaratibu wake wa uchaguzi.

Amesisitiza kuwa uchaguzi ni msingi wa demokrasia na kwamba Polepole anapaswa kupuuzwa kwa kuwa hana tena mchango chanya kwa chama.

Polepole, ambaye alijiuzulu hivi karibuni kutoka nafasi ya ubalozi nchini Cuba, alitoa waraka mzito akilalamikia kile alichokiita “kukosekana kwa haki ndani ya CCM” na “ukiukwaji wa desturi za chama”, na tangu wakati huo amekuwa akijitokeza kuzungumzia mambo mbalimbali yanayoihusu CCM.

Wakati baadhi ya wapinzani wakimpongeza kwa ujasiri, ndani ya CCM anatajwa kuzidi kupoteza mvuto na kupewa sifa ya kuwa msaliti wa itikadi.

Video: Jambo TV
.
%E8%B6%85%E7%BA%A7%E6%88%AA%E5%B1%8F_20250726_154535.jpg
 
Badala anogee sera zake kwa wajumbe nini atawafanyia yuko bize na polepole
Ukifuatilia utakuta hata elimu yake huyu jamaa ni feki. Huwezi kuwa dr msomi halafu ukaongea ujinga kama huu.
 
Aliyekuwa mtia nia wa ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika jimbo la Mvomero mkoani Morogoro, Dkt. Albanie Marcossy, amejitokeza na kumtaka hadharani mwanachama wa chama hicho, Humphrey Polepole, kupuuzwa na wanachama wengine kwa madai kuwa kauli zake za hivi karibuni zimejaa "vihoja vya kuungaunga" vinavyolenga kuidhoofisha demokrasia nchini.

Akizungumza na waandishi wa habari siku ya Ijumaa kufuatia kauli mbalimbali ambazo zimekuwa zikitolewa na Polepole Dkt. Marcossy amesema: “Huenda kuna visa na visasi nyuma yake, kuna vitu alivitarajia vifanyike havijafanyika, na kwasababu hiyo anadhani anaweza kutumia umma kutingisha au kuudhoofisha mchakato wa kidemokrasia wa kufikia uchaguzi na kufanya uchaguzi. Huenda kuna walengwa nyuma yake, na ndiyo maana ameanza kuropoka sasa na kutaja baadhi ya majina ya watu”.

Kwa mujibu wa Marcossy, kauli za Polepole zinafanana na zile zilizokuwa zikitolewa na baadhi ya wanaharakati na vyama vya upinzani vilivyopinga kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu mwaka huu. Amesema kauli hizo ni jaribio la kumchafua Rais na kutaka CCM igeuke dhidi ya utaratibu wake wa uchaguzi.

Amesisitiza kuwa uchaguzi ni msingi wa demokrasia na kwamba Polepole anapaswa kupuuzwa kwa kuwa hana tena mchango chanya kwa chama.

Polepole, ambaye alijiuzulu hivi karibuni kutoka nafasi ya ubalozi nchini Cuba, alitoa waraka mzito akilalamikia kile alichokiita “kukosekana kwa haki ndani ya CCM” na “ukiukwaji wa desturi za chama”, na tangu wakati huo amekuwa akijitokeza kuzungumzia mambo mbalimbali yanayoihusu CCM.

Wakati baadhi ya wapinzani wakimpongeza kwa ujasiri, ndani ya CCM anatajwa kuzidi kupoteza mvuto na kupewa sifa ya kuwa msaliti wa itikadi.

Video: Jambo TV
Mimi nalisaka Tongeeeeeeee,ili liende kinywaniiiiiiiii niende huku niende kuleeeeee
 
Duh Dr Marcos wa chadema mbona alikua smart sana sijui amekuaje kahamia huko IQ nayo imepotea!! Nchi hii wasomi ndio wanaiharibu kuliko hata wasio na elimu.
 
Back
Top Bottom