Dkt. Abbass: Kiuchumi tuko vizuri ndio maana hatujashusha mishahara ya watumishi kama nchi nyingine

Victoire huyo jamaa anajiita Dr nadhani naye ana Phd, lakini ni mpuuzi wa kutupa ambaye hastahili hata kuwa na Bachelor Degree kutokana na ujinga anaongea.

Rais alisema ile siku amemuampisha huyo bwana abaki na vyeo vyake viwili, cha Katibu Mkuu wa Wizara na Cha Msemaji Mkuu wa Serikali.

So hapo anakula mishahara, posho za kazi mbili at per, mtu kama huyo ataongea tena nini hadharani zaidi mkuu.
 
S
Serikali ndio iliyo waajiri? Yaani tuanze kuwaza watu walio jiajiri wenyewe. Inamaana ukisema tuwalipe walimu wa private maana yake tuwalipe na wafanyakazi, wengine wote wa makampuni ya private hizo pesa tunaokota ama. Hatulipilipi hovyohovyo tunaenda kwa mahesabu. Hao walimu wa private wakipata faida huwa wanaipa serikali asilimia ngapi na wenye hizo shule je huwa wanaipatia serikali asilimia ngapi? Tumia akili mkuu usitumie hisia.
Sio saana mjuzi wa mambo haya kwanini tusiige wenzenu,mifuko ya kijamii siipo kwanini watu wasiwezeshwa kutoka humo kama wenzetu,maana hela zile ni zao na serikali haina hata senti mule zote ni za wafanyakazi
 
S
Serikali ndio iliyo waajiri? Yaani tuanze kuwaza watu walio jiajiri wenyewe. Inamaana ukisema tuwalipe walimu wa private maana yake tuwalipe na wafanyakazi, wengine wote wa makampuni ya private hizo pesa tunaokota ama. Hatulipilipi hovyohovyo tunaenda kwa mahesabu. Hao walimu wa private wakipata faida huwa wanaipa serikali asilimia ngapi na wenye hizo shule je huwa wanaipatia serikali asilimia ngapi? Tumia akili mkuu usitumie hisia.
Yani wewe ni poyoyio na kibuyu.
Unaijua PAYE,SDL. Naona uvivu hats kukuelewesha nitapoteza muda, ila wazazi wako wamepoteza pesa kukusomesha kibuyu
 
S
Serikali ndio iliyo waajiri? Yaani tuanze kuwaza watu walio jiajiri wenyewe. Inamaana ukisema tuwalipe walimu wa private maana yake tuwalipe na wafanyakazi, wengine wote wa makampuni ya private hizo pesa tunaokota ama. Hatulipilipi hovyohovyo tunaenda kwa mahesabu. Hao walimu wa private wakipata faida huwa wanaipa serikali asilimia ngapi na wenye hizo shule je huwa wanaipatia serikali asilimia ngapi? Tumia akili mkuu usitumie hisia.
We jamaa ziro mm Sina elimu kubwa lkn najua umuhimu wa serikali kusimamia unyonyaji wa ajiriwa sekta binafsi coz ndo ime ajiri raia wengi kuliko serikali hivyo ndo inayolipa kodi mbwa wewe usiyejielewa kisa kuna namna unafaidika haimanishi ucwajali wenzio wasio serikalini kichaa wewe
 
Victoire huyo jamaa anajiita Dr nadhani naye ana Phd, lakini ni mpuuzi wa kutupa ambaye hastahili hata kuwa na Bachelor Degree kutokana na ujinga anaongea.
Jamaa anasema uongo live. Jana anasema eti nchi nyingi sasa hivi hazitangazi updates za Covid. Nchi gani hizo ?Kama sio Burundi na Tanzania tu?Kama siasa ndo kusema uongo sijui ni siasa gani hizi.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Hamjawapandishia mishahara kwa miaka mingapi sasa? Hamjui kuwa gharama za maisha zinapanda na hao watumishi wana familia ambazo huongezeka hivyo majukumu nayo huongezeka
 
Hawajui namna ya kufanya briefing ya utendaji wa serikali

Fuatilia briefing za white house au China ni kauli zilizonyooka na sio 'unajua_, nk

Safari ipo lkn tukishirikiana hapo baadye mwisho itakuwa 2025
 
Wasomi Tanzania wanatoa kauli za ajabu sana haziendani na kiwango cha Elimu zao mpaka inakatisha tamaa kwa kweli...
TCU iko ICU inapitisha PhD bandia hata kwa wahitimu wa chekechea siku ya mahafali nao wanavaa joho na kibandiko cha wasomi kama babu zao. Siyo lazima kuhenya darasani au maabara kuibuka na PhD, ni kuokota tu toka kule.

Usikate tamaa waone walionazo wakuelekeze namna ya kupata yako nawe uwe Daktari upate ajira badala ya wasomi wanaotumbuliwa kwa kutumia taaluma zao ipasavyo. Wataalam hawana nafasi Awamu hii!
 
S
Serikali ndio iliyo waajiri? Yaani tuanze kuwaza watu walio jiajiri wenyewe. Inamaana ukisema tuwalipe walimu wa private maana yake tuwalipe na wafanyakazi, wengine wote wa makampuni ya private hizo pesa tunaokota ama. Hatulipilipi hovyohovyo tunaenda kwa mahesabu. Hao walimu wa private wakipata faida huwa wanaipa serikali asilimia ngapi na wenye hizo shule je huwa wanaipatia serikali asilimia ngapi? Tumia akili mkuu usitumie hisia.
Kodi wanazolipa
 
Deni la serikali limeongezeka kutoka dola milioni 6396 Feb 2020 hadi dola milioni 6432 Machi 2020. Hii ni asilimia 39 ya GDP. Bado tuko tuko vizuri?
 
Back
Top Bottom