Dkt. Abbas, unapigwa changa la macho juu ya Makandarasi wa Maji

Kila kitu ni kigumu kama watendaji wake ni wagumu kufanya uchambuzi, kutengeneza bajeti stahiki, kuweka mpango kazi na usimamizi makini

Hata 2015 kurudi nyuma ilikua ngumu sana kupata kitanda pale Mwaisela, mgonjwa kulazwa chini ilikua kawaida sana ila sasa vitanda vipo tena vitanda safi
Wakati huo vitanda vilikosekana kwa sababu huduma ilikuwa ni bure,lakini sasa hivi wagonjwa wanakimbia gharama za matibabu hazishiki.
 
Nakumbuka kuna mmoja alikuwa kapewa kuchimba mabwawa ya kuliko kwanza enzi za Jk akakoroga kila kitu na fedha akatokomea nazo kusikojulikana
Mifano hiyo ya upigaji iko mingi Wizara ya Maji.
Lakini hakuna kesi hata moja eti Mkandarasi kashitakiwa kwa ujambazi wa kuvunja ofisi ya wahasibu Wizara ya Maji!!!
Akili mukichwa!
 
Nimesema kujenga siyo jambo la imani, elewa hilo.
Ni jambo la teknolojia.
Sasa ninyi mliojazwa pumba kichwani, kwanza hamuelewi tatizo , na pili mnakuwa rahisi kulaumu bila kulielewa tatizo.
Wizara ya Ujenzi iko vizuri, sasa kama una akili za kukutosha tueleze kwa nini Wizara ya Maji miradi yake inasuasua ,
Au wakandarasi wa Maji wanazaliwa tofauti?
Kwa uelewa wangu mdogo ( as a layman) Jidu la Mabambasi( kwenye field ya Civil Engineering, matizo mengi ktk miradi yatasababisha na uzembe wa either parties, such as Client,or Engineer or Contractor. Kila party lazima iwe inawajibika ipasavyo kuanzia kwenye Design na Contract documentation, correct procurement process, competent supervision, smooth , and proper project financing including timely payments of contractor, service ,material supplier etc, according Conditions of contract ili kuwezesha mafanikio kwenye miradi. Sasa mie nafikiri mara nyingi, kwa juu juu wengi huwa tunakimbilia kulaumu mojakwamojà Contractor bila kuona tatizo hasa ni wapi? Ikichunguza kwa undani, unaweza kuta flaws zimefanyika, kuanzia kupata competent consultant( msimamizi wa mradi), or unakuta kulikuwa na tatizo kwenye Design(inaccurate) ,or kwenye procurement (in mproper process which results to awarding a contract to incapable contractor)na as result anakuwa anashindwa kufanya kazi, na pia tatizo laweza kuwa kwenye supervision team, or upande wa Client kutolipa certificates za Mkandarasi kwa wakati , kwa zile approved works. Kwa hiyo kumlaumu Contractor moja kwa moja linapotokea tatizo, huwa inafaa kujaribu kuangalia kwa uhalisia limesababishwa nani???
 
Wakati huo vitanda vilikosekana kwa sababu huduma ilikuwa ni bure,lakini sasa hivi wagonjwa wanakimbia gharama za matibabu hazishiki.

Kumbe na wewe huna taarifa kamili za kwanini vitanda vilikosekana ndio maana unasema huduma zilikua bure😎😎

Halafu huduma zilizokua zinatolewa bure ni zipi? Ndio zile za kulala chini na kujinunulia hadi syringes, panadol na plasta nje ya hospitali?
 
Kwa uelewa wangu mdogo ( as a layman) Jidu la Mabambasi( kwenye field ya Civil Engineering, matizo mengi ktk miradi yatasababisha na uzembe wa either parties, such as Client,or Engineer or Contractor. Kila party lazima iwe inawajibika ipasavyo kuanzia kwenye Design na Contract documentation, correct procurement process, competent supervision, smooth , and proper project financing including timely payments of contractor, service ,material supplier etc, according Conditions of contract ili kuwezesha mafanikio kwenye miradi. Sasa mie nafikiri mara nyingi, kwa juu juu wengi huwa tunakimbilia kulaumu mojakwamojà Contractor bila kuona tatizo hasa ni wapi? Ikichunguza kwa undani, unaweza kuta flaws zimefanyika, kuanzia kupata competent consultant( msimamizi wa mradi), or unakuta kulikuwa na tatizo kwenye Design(inaccurate) ,or kwenye procurement (in mproper process which results to awarding a contract to incapable contractor)na as result anakuwa anashindwa kufanya kazi, na pia tatizo laweza kuwa kwenye supervision team, or upande wa Client kutolipa certificates za Mkandarasi kwa wakati , kwa zile approved works. Kwa hiyo kumlaumu Contractor moja kwa moja linapotokea tatizo, huwa inafaa kujaribu kuangalia kwa uhalisia limesababishwa nani???
Asante mkuu kwa kuelezea somo kwa undani mkubwa.

Tatizo kubwa ni wanasiasa wasiojua kuwa ukandarasi wa ujenzi ni biashara ya kisomi inayohusiana na teknolojia ya ujenzi.
Wao kitu kikienda ovyo na hawakielewi, lawama zote hutupiwa mkandarasi.

Ndio maana katika hili, nimesema Dr Abbas anapigwa changa la macho.

Kwa mantiki ndogo tu nikawauliza wachangiaji wengine humu, mbona miradi ya serikali kupitia Wizara ya Ujenzi inaenda vizuri wakati ile ya Wizara ya Maji inagota?

Hapo karibu wote wamesepa!
 
Interesting. Umerudiarudia kauli hii mpaka imeifikirisha. Hizi ni wizara za serikali moja na zote zinahusisha masuala ya ujenzi. Unaisifu sana Wizara ya Ujenzi kwa utendaji “uliotukuka” na “kuilaani” Wizara ya Maji kwa “incompetence” ikiwa ni pamoja na ufisadi!

Huu ni mwaka wa 6 wa serikali ya awamu ya 5. Ni kama vile serikali imeshindwa kabisa kuidhibiti Wizara ya Maji huku ikifanya “wonders” kwenye Wizara ya Ujenzi. Zaidi ya hapo unadai Msemaji wa serikali anadanganywa kusema “asichojua” INAFIKIRISHA.

Ni vyema sasa utueleze ni nani/akina nani hao wenye ubavu wa kuvuruga utendaji wa Wizara ya Maji kiasi hicho kwa muda wote huu bila serikali kujua na kuchukua hatua yoyote? Bila shaka kuna watu wamekukera sana huko muda mrefu. Ni bora uwataje ikiwezekana wachukuliwe hatua. Halafu, Wizara ya Ujenzi inaendeshwaje na viongozi/wataalamu toka wapi kiasi cha kuwa tofauti kabisa na Wizara ya Maji?
 
Mkuu https://www.jamiiforums.com/members/drifter.20718/ haya tnayoyaongea kama wewe uko kwenye fani ya ujenzi nchini siyo siri.
Pesa ya Wizara ya Maji inapigwa sana na watendaji wenyewe.
Haiingii akilini eti mkandarasi anaboronga mradi halafu inabidi mpaka akague mradi Waziri au mwanasiasa yeyote ndiyo wagundue kuna matatizo.
Maofisa wa wizara wako wapi?

Miradi inakaa hadi miaka mitano?
Ajabu ya kutisha hii, halafu Wizra kimyaa kama maji a mtungi.

Pengine tutoe fununu tu, vijikampuni hivyo eti wanajidai wamevifungia miradi ya Wizara ya Maji, vingi ni vikampuni vya kwao wenyewe watendaji ndani ya Wizara ya Maji.
 
View attachment 1720724

Kama kuna Wizara ngumu kwa makandarasi nchi hii, basi ni Wizara Ya Maji.

Wizara hii haijielewi katika fani ya ujenzi.

Matatizo waliyonayo wizara hii ni tofauti kabisa na wizara nyingine.

Ni ukweli usiopingika kuwa Makandarasi wabobezi na wanaojielewa hawachukui kazi za Wizara ya Maji.

Ukitaka kupigwa Tanganyika Jacki na mwanasiasa basi unachukua kazi za Wizara hii.

Wizara ya Maji kuna uozo mwingi sana katika procurement za miradi yake ya Ujenzi.

Miradi mingi haina design(usanifu) za kina.

Miradi mingi ya Maji haina fedha za miradi na zikiwepo hazifiki kwa walengwa.

Sababu rahisi za kujieleza kwenye uso wa umma ni kuwalaumu makandarasi!

Hatuoni tarumbeta hizo na visingizio kwenye miradi inayotekelezwa kwenye wizara zinazojielewa kama Wizara ya Ujenzi na TANROADS.

Wizara ya Maji imelalamikiwa sana juu ya very poor Project Management katika idara ake zote, ile kumlaumi mkandarasi kwa kiasi fulani kinaeleza kushindwa kwa mwenye mradi(Wizara ya Maji) kwa ujumla.

Mtu usipojua kuendesha baiskeli, na inakuangusha kila mara, njia rahisi kujieleza ni kusema baiskeli ni mbovu.

Lakini kiuhalisia wengine wanaendesha baiskeli hiyo kwa weledi tu, haiwaangushi, tatizo ni kukubali kuwa hujui kuendesha baiskeli!
Ndiyo wizara yetu ya Maji

Sasa tukiona magazetini, hasa gazeti la serikali Daily News, ati Msemaji wa Serikali naye anaingia mkumbo wa kutoelewa kiini cha tatizo, ndo lile lile linaitwa passing the buck!

Dr Abbas changa la macho hilo!!
Hilo la Wizara ya Maji mbona its an open secret.
Wakitaka kujisafisha utendaji mbovu wa miradi ya ujenzi wanawatupia lawama makandarasi kila mara.

Na hao wanasiasa serikalini wakisha tupiwa mchanga machoni ndio wamenyamazishwa.
 
Miradi ya Maji sio kwamba inashida ya design la hasha.

Mkuu Jidu La Mabambasi ameeleza sababu za wazi zinazokwamisha utekelezaji wa miradi ya Maji uki compare na miradi mingine ya Ujenzi, kama umewahi kufanya Kazi ya Ukandarasi utaona utofauti.

Miradi ya Maji tatizo lake kubwa ni Ucheleweshaji wa Malipo, hii hupelekea miradi isikamilike kwa wakati, inafikia kipindi Una raise madai ya labda 300M, lakini utakuja kulipwa labda baadaya ya miezi 6 au mwaka.

Sote tunajua mradi unapochelewa kukamilika unakuwa na cost implication hasa kwa Mkandarasi, unaweza kuta wakati Una bid bei ya bomba la 3" ilikuwa pengine 1,500,000 lakini kutokana na ucheleweshaji wa malipo hence mradi kuchelewa ambapo utakuta bomba imepanda tena bei, kwahiyo itakulazimu mrudi tena mezani na kuanza kuitumia hela ya Contingency ambayo itapelekea gharama ya Mkataba kupanda.

Ndiyo stage hii wasiojua kinachoendelea kusema miradi ya Maji kuna Upigaji.

Mkandarasi kama analipwa kwa Wakati hutakuja kuona hizo mambo.

Jifunzeni kwa miradi inayofadhiriwa na Donnars kama UNICEF, World bank au Ukaid ambayo inafanywa kwa Force account mbona inakimbia, ni kutokana na Wafadhiri kuingiza hela kwa watekelezaji kabla ya kuanza kujenga.

Kwa hili unaona kabisa mwenye shida ni Serikali nasio Makandarasi.
 
Kweli mkuu.
 
Asante kwa kuelezea matatizo makubwa yanayowakabili makandarasi wengi katika miradi ha Wizara ya Maji.
Hata hivyo tukumbuke kuwa miradi ya Maji ndiyo inapendwa na wanasiasa wengi.
Na wanasiasa hao wanapenda kuonekana mbele ya umma kuwa wanafanya kitu ili kutatua matatizo ya maji, hususan huko vijijini.
Kuna wanasiasa hadi wakatunga msemo ati kumtua mama ndoo kichwani.

Wizara ya Maji nayo imejiingiza kuendeshwa ili kuwaridhisha wanasiasa.
Chanzo cha maji kwa watu 1,000, wanasiasa pamoja na wataalam wa Maji wana extrapolate na kwa chanzo kile kile kujenga distribution ya watu 5,000, kinyume na usanifu wake.
Matokeo yake ni kiwa hata wale 1,000 hawapati maji hayo.
Hili ni tatizo la awali kabisa katika kuingiliwa miradi na Wanasiasa na kufeli kwa usanifu.

Pili, ni kweli kabisa fedha za miradi aidha zinachelewa au kkutofika kabisa kwenye mradi.
Ni jambo la kawaida fedha za mradi kuishia Wizara ya Maji au Halmashauri mradi uliko.
Hili swala la kweli kabisa lakini kule kwenye mradi, mkandarasi baada ya kusubiri malipo
kwa miezi sita au mwaka anaamua kuvunja kambi na kuondoka mwenye mradi.
Huku nyuma waziri mwenye dhamana anakagua mradi na kuelezwa mambo ambayo si ha kweli hivyo kumwongezea hasira mwanasiasa juu ya mkandarasi.

Miradi mingi sana makandarasi wamewekwa ndani lakini mashitaka hayaendi mahakamani.
Miradi midogo midogo ya visima na vyanzo vya maji vijijini ni ya watendaji wenyewe.

Tatu,miradi mingi ya maji haina usimamizi kabisa.
Mkandarasi anapewa mkataba na hasimamiwi kabisa, hivyo matatizo yanayojitokeza hakuna wa kuchukua hatua na kuakisi matokeo yake kimkataba na ongezeko la gharama.
Matokeo yake ni mradi kusimama kwa muda mrefu, ukisubiri maamuzi toka wasimamizi ambao hawapo.

Nne, kuna vijikampuni vingi vya watendaji vilivyopewa kazi za Maji.
Kama kampuni ni ya mtu aliyetoa kazi, atajichukuliaje hatua?

Matatizo yote haya yanahitajimsukumo maalum wa kuainisha jinsi ya kutekeleza miradi ya Maji.
Lakini mwanzo mwema ingalau umeanza kuonekana kwa kuanzisha mamlaka ya utekelezaji miradi ya Maji, RUWASA.
Mamlaka hii inabidi iwezeshwe ili iwepo kila mkoa kama TANROADS ilivyo na mamlaka hii iwe very technical na ipate watendaji wenye weledi.

Tatizo kubwa la Wizara ya Maji ni kuendesha miradi bila kuzingatia misingi ya Project Management.
Wanasiasa wajinasibu kuziba ombwe hilo kwa kutafuta mchawi wa kufikirika, kimakosa ati ni mkandarasi.
Proffessionals wanawacheka kimoyomoyo maana tatizo lipo pale pale.
 
View attachment 1720724

Kama kuna Wizara ngumu kwa makandarasi nchi hii, basi ni Wizara Ya Maji.

Wizara hii haijielewi katika fani ya ujenzi.

Matatizo waliyonayo wizara hii ni tofauti kabisa na wizara nyingine.

Ni ukweli usiopingika kuwa Makandarasi wabobezi na wanaojielewa hawachukui kazi za Wizara ya Maji.

Ukitaka kupigwa Tanganyika Jacki na mwanasiasa basi unachukua kazi za Wizara hii.

Wizara ya Maji kuna uozo mwingi sana katika procurement za miradi yake ya Ujenzi.

Miradi mingi haina design(usanifu) za kina.

Miradi mingi ya Maji haina fedha za miradi na zikiwepo hazifiki kwa walengwa.

Sababu rahisi za kujieleza kwenye uso wa umma ni kuwalaumu makandarasi!

Hatuoni tarumbeta hizo na visingizio kwenye miradi inayotekelezwa kwenye wizara zinazojielewa kama Wizara ya Ujenzi na TANROADS.

Wizara ya Maji imelalamikiwa sana juu ya very poor Project Management katika idara ake zote, ile kumlaumi mkandarasi kwa kiasi fulani kinaeleza kushindwa kwa mwenye mradi(Wizara ya Maji) kwa ujumla.

Mtu usipojua kuendesha baiskeli, na inakuangusha kila mara, njia rahisi kujieleza ni kusema baiskeli ni mbovu.

Lakini kiuhalisia wengine wanaendesha baiskeli hiyo kwa weledi tu, haiwaangushi, tatizo ni kukubali kuwa hujui kuendesha baiskeli!
Ndiyo wizara yetu ya Maji

Sasa tukiona magazetini, hasa gazeti la serikali Daily News, ati Msemaji wa Serikali naye anaingia mkumbo wa kutoelewa kiini cha tatizo, ndo lile lile linaitwa passing the buck!

Dkt. Abbas changa la macho hilo!!
Unataka kupotosha nini kijana kuwa makini na unachotaka kukisema
 
kijana japo kuwa mazalendo, vipi huko ulipo maji hayajafika? nikuambie tu miaka nenda rudi mwaka wiliaya ya same na wilaya ya mwanga zimekua zinashida ya maji ila mwaka jana december nimepita moshi kuna mradi mkubwa wa maji pale same unaandaliwa, kwa kweli ni jitihada
 
Asante kwa kuelezea matatizo makubwa yanayowakabili makandarasi wengi katika miradi ha Wizara ya Maji.
Hata hivyo tukumbuke kuwa miradi ya Maji ndiyo inapendwa na wanasiasa wengi.
Na wanasiasa hao wanapenda kuonekana mbele ya umma kuwa wanafanya kitu ili kutatua matatizo ya maji, hususan huko vijijini.
Kuna wanasiasa hadi wakatunga msemo ati kumtua mama ndoo kichwani.

Wizara ya Maji nayo imejiingiza kuendeshwa ili kuwaridhisha wanasiasa.
Chanzo cha maji kwa watu 1,000, wanasiasa pamoja na wataalam wa Maji wana extrapolate na kwa chanzo kile kile kujenga distribution ya watu 5,000, kinyume na usanifu wake.
Matokeo yake ni kiwa hata wale 1,000 hawapati maji hayo.
Hili ni tatizo la awali kabisa katika kuingiliwa miradi na Wanasiasa na kufeli kwa usanifu.

Pili, ni kweli kabisa fedha za miradi aidha zinachelewa au kkutofika kabisa kwenye mradi.
Ni jambo la kawaida fedha za mradi kuishia Wizara ya Maji au Halmashauri mradi uliko.
Hili swala la kweli kabisa lakini kule kwenye mradi, mkandarasi baada ya kusubiri malipo
kwa miezi sita au mwaka anaamua kuvunja kambi na kuondoka mwenye mradi.
Huku nyuma waziri mwenye dhamana anakagua mradi na kuelezwa mambo ambayo si ha kweli hivyo kumwongezea hasira mwanasiasa juu ya mkandarasi.

Miradi mingi sana makandarasi wamewekwa ndani lakini mashitaka hayaendi mahakamani.
Miradi midogo midogo ya visima na vyanzo vya maji vijijini ni ya watendaji wenyewe.

Tatu,miradi mingi ya maji haina usimamizi kabisa.
Mkandarasi anapewa mkataba na hasimamiwi kabisa, hivyo matatizo yanayojitokeza hakuna wa kuchukua hatua na kuakisi matokeo yake kimkataba na ongezeko la gharama.
Matokeo yake ni mradi kusimama kwa muda mrefu, ukisubiri maamuzi toka wasimamizi ambao hawapo.

Nne, kuna vijikampuni vingi vya watendaji vilivyopewa kazi za Maji.
Kama kampuni ni ya mtu aliyetoa kazi, atajichukuliaje hatua?

Matatizo yote haya yanahitajimsukumo maalum wa kuainisha jinsi ya kutekeleza miradi ya Maji.
Lakini mwanzo mwema ingalau umeanza kuonekana kwa kuanzisha mamlaka ya utekelezaji miradi ya Maji, RUWASA.
Mamlaka hii inabidi iwezeshwe ili iwepo kila mkoa kama TANROADS ilivyo na mamlaka hii iwe very technical na ipate watendaji wenye weledi.

Tatizo kubwa la Wizara ya Maji ni kuendesha miradi bila kuzingatia misingi ya Project Management.
Wanasiasa wajinasibu kuziba ombwe hilo kwa kutafuta mchawi wa kufikirika, kimakosa ati ni mkandarasi.
Proffessionals wanawacheka kimoyomoyo maana tatizo lipo pale pale.
Umemaliza kila kitu Mkuu Jidu La Mabambasi 👏👏👏

Tutaongea vyote lakini tatizo liko pale pale, Ucheleweshaji wa malipo.

Tatizo la Wizara ya Maji inaidhinishiwa Bajeti na Bunge labda 820B lakini zinazotolewa hazizidi 300B, mwisho wa siku lawama zinakwenda kwa Watendaji eti Vilaza.
Wanadhani utatumika muujiza gani kutekeleza miradi pasipo na fedha kutolewa kwa wakati?

Zamani wasimamizi wa miradi walikuwa wanapewa hela ya kusimamia ~Supervision siku hizi unakuta hakuna hela za Supervision wanapata, inafikia muda Project Manager hawezi kwenda site kwa kukosa Dizeli au hata Usafiri. Kwa muktadha huu ni ngumu kupata matokeo Chanya kwenye Sekta.

Ukitaka kuona hili angalia miradi ya Tanroads, unakuta jamaa wana magali hata 3 kwenye mradi mmoja then angalia ya Maji uone kichekesho.

Me nadhani matatizo ya Sekta ya Maji yanatengenezwa kutoisha ili kuwafanya Watawala waendelee kupata Kura za kwenye Chaguzi zao.
 
Ukiona mwanasiasa anatafuta mchawi wa kumsukumia lawama kwa kushindwa mradi, eti ni mkandarasi, ujue kashindwa kazi!
 
Back
Top Bottom