Chombo pekee cha kuthibitisha madai ni mahakamani, kama kweli usalama hawajahusika na uchakachuaji wa matokeo waende mahakamani, wasipofanya hivyo tutajua wamehusika ila wanazugaDk. Willbrod Slaa, ameitaka Idara ya Usalama wa Taifa iende mahakamani endapo madai aliyoyatoa dhidi yao si kweli.
Sasa na yeye Slaa si aende mahakamani kwani si analalamikia kupokonywa haki yake?? Mbona yeye anakuwa mwepesi kuwaambia watu waende mahakamani??
I think it is high time huyu Dr. Slaa nae ajue kwamba anatakiwa kudai haki yake na sio kutoa madai na kusubiri watu waende mahakamani ili akatoe vithibitisho!! Inawezekana Idara ya Usalama na hata NEC wanatumia ule usemi wa Ukibishana na mjinga wote mtaonekana wajinga so they take the option of keeping quite ili wananchi waone kwamba yote aliyoyasema slaa ni uzushi usio na hata chembe ya ukweli....
TUWAPE WIKI MOJA TU, kama hawajaenda huko mahakamani basi wakiri kuwa ni kweli walihusika
Dk. Willbrod Slaa, ameitaka Idara ya Usalama wa Taifa iende mahakamani endapo madai aliyoyatoa dhidi yao si kweli.
Mbona jibu wanalo? hawawezi kwenda manake wanajua waloyafanya, rais wangu Slaa anadata jamani hata kama wanampinga!
unajua hapo ndipo utakapo ona kuwa Usalama wa taifa una mushkeli, sidhani ni busara kwa kiongozi wa juu wa idara hiyo kumjibu Slaa, kilichompasa ni kumwita Slaa na kuchukua data ili wafatilie hiyo ndio maana ya intelligence na wala sio kupayuka mbele ya vyombo vya habari