Huyu naye angetulia zake tu huko aliko ili asilianzishe lingine litakalowaudhi watesi wake.
Kwa sasa anachoweza kufanya cha busara ni kumshukuru Mungu tu kwa kumponya na kifo ambacho kilikuwa dhahiri.
Unless ana hamu ya kumalizwa moja kwa moja, jambo la muhimu kwake kwa sasa ni kukaa kimya na kuendelea na mambo mengine.
Dk. Ulimboka: Ninayejua ukweli ni mimi...
Polisi wapanga kumhoji
Kamanda wa Kanda Maalumu ya Polisi Dar es Salaam, Suleiman Kova ametoa kauli inaonesha kwamba vyombo vya usalama vitamuhoji Dk. Ulimboka.
Kova ambaye alikuwa akizungumza na gazeti hili, lililotaka kujua msimamo wa vyombo vya usalama katika kulishughulikia suala la Ulimboka, hasa baada ya kurejea kutoka kwenye matibabu nchini Afrika Kusini, alisema kwamba taratibu za kipelelezi zitafuatwa.
Hata hivyo Kova alisisitiza kuwa; watu wakipeleleza hawasemi ila tambua tu kwamba taratibu za upelelezi zitafuatwa.
Tayari taarifa na mwenendo wa tukio zima zinaonesha pasipo shaka kuwa, Jeshi la Polisi katika taratibu zake sasa linafikiria kumuita na kumuhoji Dk. Ulimboka ili liweze kuondoa maneno ya kusikia sikia.
Kuhusu kutajwa tajwa kwa mtu anayedaiwa kuwa ni ofisa wa Usalama wa Taifa wa Ikulu, Ramadhan Ingondhur kuwa alihusika na njama za kumteka na kumtesa Dk. Ulimboka, Kova aliahidi kulizungumzia hilo siku ya Ijumaa.
Kwa mtizamo wangu huyu jamaa hataweza kusema yaliyompata kwani atakufa kabala hajaseme, akitaka kujua watu anaopambana nao wana uwezo gani amuulize Mwakiyembe, kubenea, mwandosia; vilevile akumbuke ya akina Kombe, Sokoine, kolimba na yule polisi wa morogoro, nimesahau jina lake kidogo.Sikubaliani na wewe, ni lazima aseme ukweli ili isije ikatokea tukasikia tena kirahisirahisi kwamba Radhia Sweety ameuawa msitu wa pande na watu wa Ikulu, kwasababu tu huwa anachangia kwenye mijadala ya JF against Serikali
Kwa mtizamo wangu huyu jamaa hataweza kusema yaliyompata kwani atakufa kabala hajaseme, akitaka kujua watu anaopambana nao wana uwezo gani amuulize Mwakiyembe, kubenea, mwandosia; vilevile akumbuke ya akina Kombe, Sokoine, kolimba na yule polisi wa morogoro, nimesahau jina lake kidogo.
Lengo lilikuwa kumnyamazisha, amenusurika, anajua mpango mzima wewe una maslahi gani na kukaa kwake kimya? Pia nani atatuondoea sintofahamu hii kama si yeye kutueleza? Mimi nadhani umepotoka kama ni mshauri wa serikali waambie watueleze ukweli ambao tutaulinganisha na mazingira.
Kwahyo akiongea hicho unachotaka aongee ndo ukoo wenu wote mtajikuta mwaishi ''HEAVEN" na wote mtageuka kuwa mamilionea.. eti eehh.!!??
Chonde chonde Ulimboka usijaribu kuharakisha siku yako ya mwisho kwa kuthubutu kushindana na kitu kinachoitwa SERIKALI. Utadhurika na hao wanaokupamba hutawaona ndugu yangu. Wewe rudi Muhimbili uendelee na kibarua chako ulichosomea badala ya kuhangaika na vitu ambavyo hutapata majibu yake kamwe. Kuhusu suala la maslahi na mazingira duni ya kazi ya madaktari, serikali itaangalia uwezekano wa kukuongeaea kamshahara kidogo kwa sharti kwamba hutatoa siri kwa wafanyakazi wenzako, sawa?
Siri kwmba serikali imehusika, au siyo? Siku zote nilidhani wewe ni kibaraka wa serikali au ndo kama wanvyosema damu ni nzito kuliko maji hivyo umeanza kuropoka?e. Kuhusu suala la maslahi na mazingira duni ya kazi ya madaktari, serikali itaangalia uwezekano wa kukuongeaea kamshahara kidogo kwa sharti kwamba hutatoa siri kwa wafanyakazi wenzako, sawa?
Lengo lilikuwa kumnyamazisha, amenusurika, anajua mpango mzima wewe una maslahi gani na kukaa kwake kimya? Pia nani atatuondoea sintofahamu hii kama si yeye kutueleza? Mimi nadhani umepotoka kama ni mshauri wa serikali waambie watueleze ukweli ambao tutaulinganisha na mazingira.
Huyu naye angetulia zake tu huko aliko ili asilianzishe lingine litakalowaudhi watesi wake.
Kwa sasa anachoweza kufanya cha busara ni kumshukuru Mungu tu kwa kumponya na kifo ambacho kilikuwa dhahiri.
Unless ana hamu ya kumalizwa moja kwa moja, jambo la muhimu kwake kwa sasa ni kukaa kimya na kuendelea na mambo mengine.
Huyu nae ni mpuuzi tu, anatafuta umaarafu sasa. Kila siku analeta longo longo tu. Bila shaka hajui hata walio mpa kichapo................
Huyu naye angetulia zake tu huko aliko ili asilianzishe lingine litakalowaudhi watesi wake.
Kwa sasa anachoweza kufanya cha busara ni kumshukuru Mungu tu kwa kumponya na kifo ambacho kilikuwa dhahiri.
Unless ana hamu ya kumalizwa moja kwa moja, jambo la muhimu kwake kwa sasa ni kukaa kimya na kuendelea na mambo mengine................