Watanzania bwana , tunafurahia kuona wengine wakipambana katika ujinga. Hivi suala la mgomo ni la kufurahia kweli, ili watu wa hali ya chini waendelee kudhurika au?
Akili yako haina tofauti na ile Mkurugenzi wa TAWLA. Anaacha kufanyakazi zinazoendana na kazi yake anajipendekeza kutafuta Mume, hivi hajui kuwa Ulimboka ana mke? Aje kwangu mimi Bachelor. Watoto wa kike wanaripotiwa kuozwa na wazazi wao na kuacha shule, Wanawake wanazalishwa na wanaume kuwakimbia, watoto wa kike wanabakwa. Hayo ndiyo yanahusu shughuli zake, badala yake anakimbili kuvaa mabango ya kumpokea Ulimboka ambaye ni janga kwa wagonjwa wa hali ya chini.
wewe umeingia moyoni mwake?????Najua anaongea tu lakini moyoni mwake hana hamu...
Uzuri ni kwamba kitendo cha Kumtesa umekipenda wewe na mungu unayemuamini. Malipizi ni kazi ya Mungu ninayemjua mie, nadhani hahusiani na mungu wako. Hongereni kwa kufanikisha nusu. Akiingia mkenge tena mtamnyonga this time?Kwa nini uwe nyuma yake , na usitangulie mbele yake? teh teh teh , acheni kumdanganya Ulimpoka asije akaingia Mkenge tena, kitendo alichokuwa akiwafanyia wagonjwa Mungu hakipendi, bali kinapendwa na wanaharakati, wanasiasa uchwara na watu wanaopenda kuona vurugu zikitokea nchini.
Kwa nini uwe nyuma yake , na usitangulie mbele yake? teh teh teh , acheni kumdanganya Ulimpoka asije akaingia Mkenge tena, kitendo alichokuwa akiwafanyia wagonjwa Mungu hakipendi, bali kinapendwa na wanaharakati, wanasiasa uchwara na watu wanaopenda kuona vurugu zikitokea nchini.
Jaminie kazi ni wito na kama kuna watu wanageuza profession zao kama vile siasa flan huyu jamaa anaonekana kwa kuna kitu anataka xaxa cha ziada ni nini kimemfanya arud akiwa jasiri hivi na akijua wazi anawindwa na watu wake ambao sio wazuri kwa upande wake au ndo keshajigundua kua wameshammaliza sasa ameamua kurud hili ata akiwa ionekane kuwa wale watu walishindwa kabla na xaxa amekufa kwa mipano ya Munguu?
Hakuna Mungu anayemwamuru mtu kugoma, acha kukufuru wewe, Shetani huyo alimtuma, ila Mungu kamponya ili arudi apime kama alichokuwa akiwafanyia wanyonge kinastahili kweli.
Kuna mama alijinyonga kule Geita baada ya mtoto wake kufariki kwa kukosa tiba sahihi, je unataka hali hiyo iendelee?Watanzania bwana , tunafurahia kuona wengine wakipambana katika ujinga. Hivi suala la mgomo ni la kufurahia kweli, ili watu wa hali ya chini waendelee kudhurika au?
Mamaisara ndo walewale wachache wanaofaidi nchi hii, na hawataki mabadiliko kwasababu wao wanafaidi , huduma za afya hapa nchini ni za hali ya chini sana na watu wa hali ya chin ndo wanapata shida na hawajui haki zao,watu kama dr uli ndo wanatetea wanyonge hao,watu kama mamaisara wao ndo wanatibiwa nje kwa kodi zetu
Kwa nini uwe nyuma yake , na usitangulie mbele yake? teh teh teh , acheni kumdanganya Ulimpoka asije akaingia Mkenge tena, kitendo alichokuwa akiwafanyia wagonjwa Mungu hakipendi, bali kinapendwa na wanaharakati, wanasiasa uchwara na watu wanaopenda kuona vurugu zikitokea nchini.