Dk Slaa: Mvumilieni Rais Magufuli. Natafakari kurudi nchini siku yoyote

Karibu Dr. kwenye nchi ya kusadikika najua wazi mpunga utakuwa umekata. We ni mtu na heshima zako japo umenyea kitanda ambacho jioni unataka ukilalie tena. Jamaa umeshawasaidia kuingia madarakani sijui kama watakutoa tena kwa kifupi umeshakuwa bigijii ilioisha utamu.
 
Mpumbavu wewe baada yakujaza tumbo lako kwa ubalozi wa ccm sasa unatutapikia uozo !. Huna akili zee zima kujiuza kwa ccm na kujidhalilisha kwa kununuliwa kwa Kodi zetu,kuvuruga upinzani ! Mvumilie wewe aliyekununua usituchafue sisi na janaba la ccm kihongwe sana wewe.
 
Back
Top Bottom