Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 13,242
- 7,173
Jaribuni kumfukuza sasa!!!! wakina Nape na Mukama si walikuwa wanamuita Fisadi atakisambaratisha hicho chama mpaka historia yake ifutike kwenye hii dunia. yule ndiye mtume wa siasa za CCMahaha haaaaaaa kama ni mwamba kwenu CCM ngoma nzito uliza uambiwe
Chama
Gongo la mboto DSM
Jaribuni kumfukuza sasa!!!! wakina Nape na Mukama si walikuwa wanamuita Fisadi atakisambaratisha hicho chama mpaka historia yake ifutike kwenye hii dunia. yule ndiye mtume wa siasa za CCM
Thread nyingine ya nini wakati kinachoongelewa hapa ni Umbeya watu wanaiba matrilioni makimbilia umbeya Jaribuni kwa huyo Mtume wa siasa za CCM muone joto ya kufutika kwenye medani za siasaFungua thread nyingine mods wanawasaidia kundoa tunazowabana; hapa tunajadili wizi wa mchana kuigueza Chadema saccos .
Chama
Gongo la mboto DSM
Jaribuni kumfukuza sasa!!!! wakina Nape na Mukama si walikuwa wanamuita Fisadi atakisambaratisha hicho chama mpaka historia yake ifutike kwenye hii dunia. yule ndiye mtume wa siasa za CCM
Wana Jf sio kwamba nawaondolea imani na Dr.slaa ndani ya chama,bali huu ni ukweli kabisa kwamba Dr.slaa anadaiwa na chama cha demokrasia na maendeleo(CHADEMA) kiasi cha tsh.Million 140 ambazo hazifahamiki zitarudishwaje hadi hii leo.
Mi ndo maana huwa nasema ccm wakiacha makundi wakamsimamisha mtu anayeuzika (mfano Magufuli) watachukua nchi tena 2015. Lakini hawa wapinzani mmmh........niliwahi kusema wapinzani bado hawani-convince, watu wakanipotezea!
Kwenye siasa kuna kitu kinasemwa 'counter attack' yaani unajibu mapigo. Lakini ukiona huna ubavu basi unafanya kitu kingine kinaitwa 'divert attention' yaani kuwaondoa watu katika mada pengine inayokuharibu au kukuharibia.
Anachokifanya Tuntemeke ni ku-(divert attention). Tunafahamu wiki mbili zimekuwa na joto la kisiasa kwa baadhi ya wanasiasa, sasa wanataka kutuondoa katika mada.
Madai ya Tuntemeke ni mepesi sana ukifiyafikiria, sasa kama Dr Slaa amefanya 'uhalifu' na wewe umeamua kuweka hapa kitu gani kinakuzui usitoe ushahidi hadi yeye aje hapa. Lakini pia kama alivyosema Mimibaba, mbona wewe mwenye ushahidi hujitokezi ili hali unaushahidi ili kukinusuru chama?
Hivi tunawezaje kuamini maneno yako, halafu tujizuie kuamini kuwa ni wewe uliyemwekea vipaza sauti Dodoma? Nasema hivi kwasababu nyote (wawili kama nitofauti) hakuna aliyewahi kujitokeza japo kwa jina halisi.
NAOMBA KAMA DR.SLAA ANAKANA UKWELI HUU AJE HAPA APINGE,USHAHIDI TUNAO.
IFAKARA wamefika wote?Mwanzoni nilianza kukuamini lakini hapo kwenye red umearibu kabisa, kwa nini hukusubiri u-scan kabisa ndo uje uanzishe uzi? Kwani kwenye mikutano ya chadema huwa wanafika wabunge wake wote, wajangwani nilikuwepo natse, shibuda, kasumbai, kahigi na wengine wengi hawakuwepo, unasemaje hapo au ndo walishaanza kususia?
Uzuri ni kuwa tumeshakujua hautusumbui, Tuna mambo mengi yakufanya kwa sasa, Tunahangaika na CCM tu sio na wewe, Dr. asije kujibu haya majungu yako na akija ntamshangaa
Kumbe ushahidi wa deni unao, sasa unataka nini tena. Au jamaa kasema halipi ?? Kama una ushahidi kuwa jamaa kasema hatalipa, weka ushahidi huo hapa tuuone ndio tujue.
Angalia mfano huu jinsi ya kuweka ushahidi hadharani:
Hoja: Elimu ta Tanzania inadorora sana.
Sababu: Ufisadi wa viongozi wa CCM na serikali yake.
Kivipi: CCM na serikali yake wasingeiba ma-trilioni ya pesa, shule zetu zote zingekuwa bora.
Angalia hapa jinsi shule zetu zilivyodorora.
Mkuu wangu TUNTEMEKE edit hapo kwenye Sh140 halafu twende sawa Kamada wa ukweli.
kwa hiyo unataka tujadili nini sasa?
multimedia pictures, siyo za kweli hizo.
Ogopa Lowassa Mwamba wa Kaskazini wenye uwezo wa kuijenga au kuibomoa CCM Mleteeni Ufala wenu wa kuserebuka mchiriku muone moto wa petroli