Dk.Slaa lipa deni hili la CHADEMA

Tuntemeke na marcopolo hamjambo??
 
Ninavyowaona kaka zangu na Dada zangu mnavyolialiia kwa matusi nawashangaa sana
 
Tuntemeke unawivu wa first lady kupewa hati za nyumba na kupata mkopo lakini kama na wewe unataka mkopo nenda nssf ukakope na kama unataka hati za nyumba na wewe nenda ukawe bi mdogo.
Naona mods walikuumbua page ya 1 yote unajijibu na uzi umeanzisha mwenyewe[emoji3] [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…