kulikuwa na maana gani waandike habari kwanza halafu kesho yake ndio waje wamuulize..huu ni upuuzi mtupu. kwa nini wasingemuuliza ndo waandike?. waache unafki na uchochezi bahati ni kwamba Dr ni mstaarabuMe sioni umuhimu wa suala ili kukuzwa kiasi hikn na hv vyombo vya habari,Dr kaeleza vizuri sana na protocal zinaeleweka!hawa waandishi wa mwananchi wamekuaje?nimeanza ku loose faith na ili gazeti,sasa linaelekea kwenye udaku!nafikiri gazeti la nipashe wanarudi vizuri katika hadhi yao kwa sasa!maana habari zao ni za maana hawana udaku kama mwananchi!me sijawahi ona eti rais awe sehemu mtu akurupuke na kuwapita watu wa usalama kwenda kumsalimia rais,ila kitaratibu,rais ndie uwa anakwenda kusalimia watu
Hii protokali ya hapa nayo ni kizungumkuti, iweje ZK, naibu katibu mkuu akae kwenye zulia halafu WS, Katibu Mkuu akae nje ya zulia, besides kushoto ya ZK kulikua na kiti ambacho kilionekana kuwa wazi ikimaanisha kabisa kwamba kilikua kimetengewa Mh WS.........!!!??? anachotuaminisha WS ni kwamba usalama walichakachua haki yake???
Mbona Dr. Slaaa anasisitiza kwamba msibani si mahali pa kutengeneza mambo yaliyoharibika? Hivi kusalimiana na mtu ni kutengeneza mambo yaliyoharibika? Nadhani Dr. Slaaa ana siri nzito moyoni."Siyo hulka ya Dk Slaa kutumia misiba kama sehemu ya kusalimiana, wala kutengeza mambo yaliyoharibika, mimi huwa naenda kwenye msiba kwa lengo moja tu la kumwombea marehemu, huwa simtazami hata mtu aliyekaa pembeni yangu," alisema Dk Slaa alipozungumza kwa njia ya simu jana.
"Sasa kutoka alipokuwa amekaa Rais mpaka kwenye banda nilipokuwa mimi, kulikuwa na umbali wa karibu mita 20, sasa mlitaka nikimbie kumsalimia Rais nivunje protokali kisha nikamatwe na usalama wa taifa,"
Alisema kuwa, hata katika wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Regia Mtema, katika ukumbi wa Karejee, kulikuwa na utaratibu kama huo ambapo ilitengwa sehemu ya kukaa Makamu wa Rais, Spika wa Bunge, Kiongozi wa Kambi ya Upinzani na Makamu wake na yeye Dk Slaa akawekewa sehemu yake kama Katibu wa Chama alichokuwa akikitumika marehemu.
"Mimi sipendi kuweka siasa kwenye mambo kama ya msiba, Dk Slaa siyo kichaa siyo kichaa aanze kukimbia kumsalimia Rais. Katika sehemu kama ile Rais huwa anakuja baada ya watu wote wakiwa wameshakaa, yeye ndiye hupita na kuanza kusalimia watu na hamjaona hata sehemu moja aliponyoosha mkono kunisalimia nikamkwepa," alisema Dk Slaa:
"Msiba siyo mahali pa kutengeza urafiki, au kutengeza mambo yaliyo haribika, pale ni ibada tu na kumuombea marehemu siyo sehemu ya kufanya siasa" alisisitiza Dk Slaa. Jana baadhi ya vyombo vya habari viliripoti kuwa, Dk Slaa alishindwa kusalimiana na Rais Jakaya Kikwete katika mazishi ya Regia Mtema yaliyofanyika kijijini kwao Ipangalala Morogoro juzi.Regia alifariki dunia Januari 14 kwa ajali ya gari iliyotokea katika eneo la Ruvu mkoani Pwani.