CHADEMA
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 490
- 2,471
Dk. Slaa anaendelea kutoa summary ya ziara yake kwa mkoa wa Tabora.
Mkutano unazizima hapa Dkt. Slaa anaelezea ushahidi ambao CHADEMA inao ukionesha unayama wa kutisha uliofanywa kwenye matukio mbalimbali hasa wakati wa Operesheni Tokomeza Ujangili.
Anawaambia ndiyo maana hata ndani ya Ukumbi wa Bunge picha za matukio ya kinyama hazikuoneshwa kwa sababu ni ukatili wa hali ya juu la sivyo hasira za Watanzania zingepanda kwa kiwango ambacho CCM haijawahi kuona.
Anasema hakuna kitu cha kuficha...ushahidi wa matukio yote ya ukatili huo anao...ikibidi zitawekwa hadharani...