Dk. Slaa Igunga; Yanayofanyika Tanzania ni zaidi ya Afrika Kusini ya Makaburu

Wana Igunga ni sehemu ya Watanzania wengi ambao walishaamua siku nyingi...Chadema ni sehemu ya maisha yao... hawa ndiyo wanatembea kwa dhati na ule msemo wa mmoja wa wapigania uhuru wa Afrika, forward forever, backward never...


DSC_9441.JPG
 
Tunamshukuru Mungu kwa kuendelea kutupigania. Gharama ya ukombozi ni kubwa hakika.

Wana-igunga wanaelewa umuhimu wa ukombozi. Asante sana
 
Huyu Mzee @Dr W. Slaa ni wa kumheshimu sana sana. Hii kazi ya kukomboa watu kifikira na kimfumo si rahisi. Ina changamoto nyingi na gharama ni kubwa, lakini ameamua kubeba hilo jukumu kwa faida ya Tanzania ya leo na vizazi vijavyo.

Hongera sana @Dr W. Slaa hakika mtu atakulinda na kukubariki kwa kazi hii tukufu ya kuwatumikia na kuwakomboa watu wake
 
Hivi kwa nin dokt slaa haonei watu hurumabunge ni uchochezi, fitna na uzandiki usio wa kawaida. Hivi anaelewa alichokisema, au nafurahia kuropoka tuu??
Thibitisha hayo unayomtuhumu Dr Slaa.Umesoma ripoti ya kamati ya bunge?Wanawake walibakwa..mama moja akajitokeza kuwa alibakwa na wanaume wawili, mwingine alilazishwa kufanya ngono na wakwe zake,pia yupo mwanaume aliambiwa afanye mapenzi na mti...nk. Kuna sababu yoyote kuipenda CCM? Acha mauaji ya Morogoro,Arusha,Mbeya kwenye mikutano ya kisiasa ya CDM. Shame on you pro- CCM.Jaribu kutumia japo robo ya akili yako kutafakari,acha ushabiki
 
Hivi kwa nin dokt slaa haonei watu huruma, huu ni uchochezi, fitna na uzandiki usio wa kawaida. Hivi anaelewa alichokisema, au nafurahia kuropoka tuu??

Yupi anamakosa, serikali yako imefanya na dk slaa amesema ilichofanya serikali yako! Ama kweli ukiwa magamba lazima uwe mzigo or taahira!
 
Dr.Slaa amebakia kuropoka hovyo bila kupima, hivi makubaru walikuwa wanavipa ruzuku vyama vya siasa kila mwezi, wanakula mpaka wanakopesha.
 
Dr.Slaa amebakia kuropoka hovyo bila kupima, hivi makubaru walikuwa wanavipa ruzuku vyama vya siasa kila mwezi, wanakula mpaka wanakopesha.
Muda wote umebanwa na mavi hakuna hata pointi moja umewahi kuchangia....... Ujinga mtupu
 
Go-go-go Kamanda,aluta continua mpaka kieleweke.,Vibaraka wa magamba wanahangaika kufuta nyayo zako kigoma kwa nguvu ya hela wanasahau kauli mbiu yetu 'kula ccm kulala chadema'.
 
kinachonishangaza kuhusu DR SLAA , ni kwamba ana nguvu na hachoki , yaani siyo DHAIFU aisee ! Taifa linamtegemea mno hivi sasa kuliko wakati wowote mwingine .
 
Back
Top Bottom