Dk Slaa hajakomaa kisiasa

Ni mtazamo wako, sidhani kama kuna haja ya kukubishia. Ila unapopost thread ni vema ukaepuka kuwa na lugha inayokoroga kiasi cha kupoteza maana uliyokusudia.
 

Mlanguzi vipi? Unanikumbusha somo la history. Yaani we ni mkali unatumia JF kuandaa somo kwa form four ila unaonekana mwalimu mzuri
 
Mamluki utawajua tu, siku moja na nusu, post zapata 100, almost zote za kidini.

hahaa hebu soma vizuri thread yako maana umeongea na kuandika pumba tupu mara MANDELE, DOSMON TUTU, Vipi yakhe mbona unakurupuka ty? kua makini hapa sio Mzalendo.net
 
Ushauri wa bure rudia shule ya msingi kusoma mlanguzi
 
Last edited by a moderator:
Naamini huna ufahumu mzuri juu ya hoja zako, ni dalili za ufahamu hafifu kumlinganish maalimu na dk slaa, kwani muelekeo mbaya wa chama cha maalim ni matokeo mabaya ya maamuzi yake ya kufunga ndoa na chama cha kijani, je huu ni ukomavu? Vilevile siasa kipindi cha mandela ni tofauti na siasa za leo kwani hizi ni nyakati mbili tofauti, zile zilikuwa ni nyakati za utawala wa kikolono na huu ni utawala wa ccm, hivyo kila mmoja ni shujaa kulingana kipindi chake. Je wewe hili hulijui au ndo uvivu wa kufikiri?
 
​du aliyekomaa ni mr dhaifu mtu ya bagamoyo? kanywe chai kwanza
 
Mods kwa nini msimwondoe kwanza jamvini kwa sababu kaanza vibaya ili akajifunze namna ya kuingia humu jamvini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…