Dk Slaa azindua kampeni Kalenga

Nasikia Lusinde wamempeleka Kalenga na sifa kuu nikwa kuwa ana mdomo mchafu na kisima cha matusi
 
Mustaarabu yoyote hawezi kuzungu mzia kuugua kwa mtu mwingine.Ni wale tu wanao subiri kupelekwa Milembe wanaweza kuuliza Dr Slaa ataponalini mkono.Kila mtu ni mgonjwa mtarajiwa.
 
Kushinda ni lazima,hawezi dogo atoke Ulaya kuja kuchukua ubunge aende nao ulaya na sisi tuna ng'aa macho tu.
 
Huyo dogo akagombee London mbona nasikia amejiandikisha upiga kura huko?Alikuwa anajiandikisha kupiga kura ya nini kama siyo kutaka kugombea
 
Chris Lukosi uuse kono mtwa, na wale wa ibangamoyo, wasa nzihi, nyamihuhu, mangalali, ipamba hakikisha hawaendi MSALANI hadi mtegulage kigoda cha mjengoni bana. Vaingulaghe huko pabhasuungu
 
Last edited by a moderator:

Ulitaka na wewe wakutie?
 

Hapo kwenye No. 1 Aliyebakwa kule UK ni chriss Lukosi na ndio maana kila siku analalamika kuwa Lema hajachukuliwa hatua hadi sasa huku ikitambulika alichofanyiwa ni kitendo kilicho katika biashara yake.
 
Mbona wamekuumiza sana kama vile kuna baadhi ya huduma wamesitisha kwako? Isijekua na wewe unauza kabang!
 
SALOME SICHWALE bado masalia mnafulukuta??
Mmeumia saana kumtema Zito, amebaki mbunge wa mahakama!!
Angalia Italia PM chama chake kimemtoa kwenye UPM!!
 
Last edited by a moderator:

Padre Babu slaa kweli umezeeka vibaya, yaani Mara hii amesahau alivyokipa chama châle masharti ya kulipwa mshahara na marupurupu sawa na mbunge, pale alivyoabiwa asigombee ubunge ili agombee urais, Sasa Leo iweje Leo apinge posho hizo kuongezwaaa?.

MY TAKE:
Babu mzinzi Slaa, Huu ni muda Wa kulea wajukuu, sio muda Wa kufanya siasa Tena!
 

Huyu babu hana maana, ndiyo maana nasema chadema hawana hoja, badala ya kusema nini watafanya anakimbilia kuwadanganya tena, ikumbukwe miongoni mwa waliokuwa wakitaka posho kuongezeka ni mbunge wa chadema, wanaelewa fika kua posho haitoongezeka sasa wanataka badae waje watudanganye kuwa wao ndio waliofanya juhudi ya kuhakikisha posho hazipandi.

Siasa mchezo mchafu sana, tena mbaya zaidi huyu mzee ni padri na anadiriki kuwa anasema uwongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…