Dk. Slaa awapagawisha wananchi

Dk. Slaa awapagawisha wananchi

kesho naanza safari ya kwenda Mwanza kwa lengo moja nalo ni kupiga kura ili kuuondoa utawala wa kiimla nchini kwangu

Hon.dk Slaa ndo Rais wangu. sina utani juu ya hili



Hongera mkuu mimi mwenyewe keshokutwa moto kwenda Dar kwa suala hilo hilo, na nitalipia vijana wangu wa chuo wawili wa chuo.....
 
Na tulio nje ya nchi tutampaje kura Rais Mpya????????
Hamasisha ndugu zako wakubwa kwa wadogo,baba,mama,bibi,babu,shangazi,mjomba,ndugu jamaa na marafiki walioko hapa ndani ya nchi ili wampigie kura dokta wa ukweli,hapo utakua umeshiriki kupiga kura.
 
Safi sana!Dr Slaa songa mbele ushindi unakuja!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Jamani hakikisheni kuwa wazazi, watoto, wajomba na jamaa wote kuwa wanampigia kura Dr. Slaa tafadhali hiki ni kitu cha muhimu sana. Kura zetu zisigawanyike.
Ndio natoka nyumbani kijijini, nimeelimisha ndugu zangu. Dada zangu wawili tu ndio wang'ang'anizi wa ccm. the rest kura kwa Dr Slaa. Nilipeleka picha ya Dr Slaa na DVD ya wajibu wa mawakala.
 
niko shinyanga hapa napumzika then nimalizie km zangu ili nifikie mwanza kwa ajili ya hiyo octoba 31.

mama blanca ninae hapa nae ni kwa lengo hilo hilo.

mwaka huu sina utani nashukuru familia nzima japo tumetawanyika lakini wote ni chadema.
 
Mie na familia tupo 4 , nimeshawishi watu wengine 20, tunachugua Halima Mdee (Mb. Kawe) na Slaa (Rais) lakini hata diwani ni CHADEMA, ingawa simujui
 
Mie na familia tupo 4 , nimeshawishi watu wengine 20, tunachugua Halima Mdee (Mb. Kawe) na Slaa (Rais) lakini hata diwani ni CHADEMA, ingawa simujui

Safi sana mie nimeshawashawishi watu zaidi ya 1,000 kwa simu, emails na maongezi tu ya barabarani na kuwahimiza umuhimu wa kupiga kura tena wengine hata siwajui (mabarabarani) hahahahahah. Kama uchaguzi huu ukiwa huru na wa haki thithiem hawana chao.
 
Mungu fanya muujiza Kwa Slaa, Mwaka huu ni CHADEMA, Mungu linda kura na pia wale wote watakao chakachua kura basi Mungu atawapa adhabu
 
Back
Top Bottom