Mtindo wa walimu sa hivi ni noma,niliaangalia daftari la mwanafunzi moja ikiwa imesahishwa vizuri na kuwekewa good!Swali likiuliza:'HOW MANY TYPES OF COFFEE ARE FOUND IN AFRICA?METION THEM!Jibu lilotolewa lilikuwa 'TWO'!Kwenye ku'metion' jibu lilikuwa 1)COFFEE ANNAN,2) COFFEE OLLOMIDE!Kasahishiwa na kawekewa 'good'!Sasa sijui elimu yetu inaenda wapi?Dr Slaa okoa jahazi,inazama taratibu.