Dk Slaa amshukia JK

Jibu hoja kwa hoja siyo kuanza kuweka mambo ya jinsi ya mtu. Hakuna utafiti wo wote wa kisayansi duniani umeweza kuonyesha kuwa uwezo wa mwanamke kiakili ni wa chini kuliko wa mwanaume. Mara nyingi ktk nchi zinazoendelea kama yetu inatokana na kukosa fursa ya kuendelea kielimu tu, kwamba wanaume walipata upendeleo zaida ktk miaka ya nyuma. Tazama nchi zilizoendelea, wapo wanawake ma-scientists wanaoendesha mpaka vyombo vinavyoenda kufanya utafiti wa sayari nyingine. Acha ubaguzi wa kijinsia hapa. After-all hata hapa JF wapo baadhi ya wababa wanaochangia pumba tupu na wewe mwenyewe unajua, na hawahukumiwi na akina mama humu kuhusu uwezo wao kiakili.
 
Back
Top Bottom