Dk Slaa amshukia JK

hayo ni mawazo yangu toa yako, ktk siasa za tanzania usitegemee mwanasiasa alete maendeleo, wote ni wachumia matumbo tu, nimetoa mfano tu kwa dr slaa kuhusu mshahara wake, ila kwa sababu humu watu ni washabiki wa chadema hawakubali kuambiwa ukweli. Chadema wanaongoza majimbo mangapi na wamefanya nini pale? Usikurupuke kunishambulia hata mie haya ni mawazo yangu, toa yako tambaa mbele!
Usiwe mkali utapata hasara. Ulichoongea sio mawazo bali ni hewa chafu. N

aomba ujibu swali hili kama wewe kweli una akili angalau nusu kikombe:

UKIWA BOSI WA KAMPUNI KUBWA (LET SAY VODACOM), UTAKAZANA KUONGEZA UZALISHAJI NA MAUZO ILI MAPATO YA KAMPUNI YAONGEZEKE NA MISHAHARA YA WATUMISHI IPANDE AU UTAKUWA UNAWAPA WALIO CHINI YAKO SEHEMU YA MSHAHARA WAKO KAMA MOTISHA?
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Wewe JAKUBUMBA nenda MMU ukajadiliane kule. Zipo mada nyingi tu nzuri za saizi yako:
1. Mpenzi wangu simuelewi
2. Kwa nini wanaume wengi hawajui kukea
3. Hivi mwanaume asipokupa zawadi kilisimasi ni kweli anakupenda?
4. Mpenzi wangu kaniacha je akirudi nimkubalie?
Nafikiri mada za namna hii ndio unaweza kuzijadili kwani ni hisia na sio akili.

Duh! umempa za kichwa c kitoto! hatakusahau!
 
Ila Slaa nae kazidi kulalamika! Ila yeye mshahara wake amesahau? mbona sijawhi kusikia amesaidia hata mbuzi kwa ajili ya sikukuu kama mzee wa kaya JK? YEYE ZAKE ANAWEKA MFUKONI ANATULIA HALAFU ANAWANYOSHEA WENZIE KIDOLE! SIASA BWANA KAMCHEZO KACHAFU SANA!:lol:

bila shaka we ni mteule wa gamba.
 
Kweli unahaki ya kusema lakini "si kila mwenye haki ya kusema anasema kila anachojisikia". Watu hawajachuikia ulichokisema ila wamedaut upeo wako wa kufikiri....si unajua This is the home of geat thinkers?. JK anatoa zawadi, OK, hatujakataa ila hujui kwann anafanya hivyo? Yeye ni rais atoi mfukoni mwake anafungu kwa ajili ya recreations and condolences kama rais. Mbali na hilo zawadi hizo siyo kipimo cha ubora wa utendaji na maendeleo kwa watanzania, fedha zinazoharibika kupitia mikononi mwa bests wake na yeye binafsi ni nyingi mno.

Jf siyo ya CDM kama unavyofikiria bali imeonekana hivyo kwa sababu Jf wanaitumia watu wanaojua zuri na baya (Intellectuals) hata ukifunika mavi watanusa harufi.
 
Ila Slaa nae kazidi kulalamika! Ila yeye mshahara wake amesahau? mbona sijawhi kusikia amesaidia hata mbuzi kwa ajili ya sikukuu kama mzee wa kaya JK? YEYE ZAKE ANAWEKA MFUKONI ANATULIA HALAFU ANAWANYOSHEA WENZIE KIDOLE! SIASA BWANA KAMCHEZO KACHAFU SANA!:lol:

Jakubumba,

Acha ushabiki ndugu yangu. Kila kitu alichooongea Dr.Slaa ni ukweli na ukweli mtupu. Hajachakachua wala halalamiki baali anakemea na kujaribu kuonyesha UDHAIFU wa SERIKALI YA RAIS KIWETE!
 
Huyu jamaa Dr W. P. Slaa ana akili sana. Watanzania tumeshindwa kabisa kumtumia kwa sababu tu ya chuki za kisiasa. Huenda hata hizi shida za kiuchumi tulizo nazo ni laana ya kushindwa kumtumia huyu mtaalam. JK acha visasi, tumia hili jembe litakurudishia heshima na utawapunguzia watanzania shida
 
Hivi zile reference za Egypt, Libya na Tunisia etc... kwenye maongezi yenu zimeishia wapi eeh?
 
Ila Slaa nae kazidi kulalamika! Ila yeye mshahara wake amesahau? mbona sijawhi kusikia amesaidia hata mbuzi kwa ajili ya sikukuu kama mzee wa kaya JK? YEYE ZAKE ANAWEKA MFUKONI ANATULIA HALAFU ANAWANYOSHEA WENZIE KIDOLE! SIASA BWANA KAMCHEZO KACHAFU SANA!:lol:
Tatizo lako hata kufanya analysis hujui. Jk hutumia pesa za Ikulu kuwapa watu mbuzi ya sikukuu sio kutoka kwenye mfuko wake. Mshahara wa slaa inahusikaja na Tathmini ya chama kwa mwaka. Fool people will always remain fool even if they are educated.
 
Ila Slaa nae kazidi kulalamika! Ila yeye mshahara wake amesahau? mbona sijawhi kusikia amesaidia hata mbuzi kwa ajili ya sikukuu kama mzee wa kaya JK? YEYE ZAKE ANAWEKA MFUKONI ANATULIA HALAFU ANAWANYOSHEA WENZIE KIDOLE! SIASA BWANA KAMCHEZO KACHAFU SANA!:lol:
ukiona watu wazima wanadiscuss issue za nchi basi wahi ukalale usije ukachelewa kesho shule.
 
Dk Slaa ambaye katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka juzi aliangushwa na Rais Kikwete, alisema wakati matatizo hayo yakionekana kuathiri uchumi wa nchi na maisha ya Watanzania, bado utatuzi wake umekuwa ni wa kisiasa, usiozingatia utaalamu.

Sina uhakika na hapo!!!(penye nyekundu)
 
Ila Slaa nae kazidi kulalamika! Ila yeye mshahara wake amesahau? mbona sijawhi kusikia amesaidia hata mbuzi kwa ajili ya sikukuu kama mzee wa kaya JK? YEYE ZAKE ANAWEKA MFUKONI ANATULIA HALAFU ANAWANYOSHEA WENZIE KIDOLE! SIASA BWANA KAMCHEZO KACHAFU SANA!:lol:
wewe lazima utakuwa uko bleed aka period huwezi ongelea pumba kama hizo kwenye hoja ya msingi ya dr slaa go to hell maza kafa
 
Serikali hii hii ya Jkei ambayo ni kiziwi nafikiri tuliisha ishauri kwa kuiambia, tukaimba we mpaka tumechoka imebaki kuchukua uamuzi mgumu kwa maandeleo ya taifa hili hata Jkei analitambua na anasali litokee haraka ili kikombe hiki cha shida za kila siku za watz kimuepuke.
 
Dr Slaa hiyo ndio iwe sera ya Mwaka huu hatutaki kuendelea kupewa matumaini na Raisi kila hotuba yake tupe maelezo na njia ya kuchukua kumkata ngebe Raisi mdanganyifu huyu ooh maisha bora kwa kila mtanzania ooh kasi mpya Mawe wananchi tunaipata sasa
 
dk alionya kuwa tukimpa jk nchi ni janga la kitaifa ..sasa si tumekipata tulichotaka
 
Ila Slaa nae kazidi kulalamika! Ila yeye mshahara wake amesahau? mbona sijawhi kusikia amesaidia hata mbuzi kwa ajili ya sikukuu kama mzee wa kaya JK? YEYE ZAKE ANAWEKA MFUKONI ANATULIA HALAFU ANAWANYOSHEA WENZIE KIDOLE! SIASA BWANA KAMCHEZO KACHAFU SANA!:lol:

Sasa akinunulia mtu mbuzi ndio maisha ya huyo mtu yanabadilika? Ndio nyie mnaodanganywa na elfu 5,000, tshirt, kofia na ubwabwa halafu mnaibinafsisha nchi na wake na watoto zenu!
 
Back
Top Bottom