Dk Slaa amshukia JK


Craaaaaaaaaap hakuna kitu hapo. Huyu mzee ameisha chuja kwani maneno yake kila siku yale yale hana jipya kabisa. Kwanza namshauri aende India akatibiwe mkono hajapona bado si unamuona anakwenda upande upande !

 

Mkuu naona kaogopa kuweka vifungua na vifunga usemi: "aliangushwa na Rais Kikwete",
 
Craaaaaaaaaap hakuna kitu hapo. Huyu mzee ameisha chuja kwani maneno yake kila siku yale yale hana jipya kabisa. Kwanza namshauri aende India akatibiwe mkono hajapona bado si unamuona anakwenda upande upande !

Evil genius!!!!
 
Craaaaaaaaaap hakuna kitu hapo. Huyu mzee ameisha chuja kwani maneno yake kila siku yale yale hana jipya kabisa. Kwanza namshauri aende India akatibiwe mkono hajapona bado si unamuona anakwenda upande upande !


Ndio shida yetu, UJINGA. Kuchuja sasa ndio nini? Kwa hiyo unaanza kuleta za kike-kike za fulani kachuja, kwani umeambiwa Dr.Slaa ni msanii mpk udai single imechuja?

Unapokuwa mjinga kwa kiasi kikubwa unakuwa mzigo kwa Taifa. Sasa wewe unataka maneno mapya kama ya Kikwete, si ndio?!
1. Asiyeshusha bei ya sukari atakiona cha mtema kuni
2. Maisha bora kwa kila mtanzania
3. Ukitaka kula lazima na wewe uliwe
4. Tumethubutu, tumeshindwa lkn tunaendelea kubahatisha
5. Akili za kuambiwa changanya na zako.....n.k, n.k si ndio unataka?

Dr.Slaa hana muda wa kukaa chini kuandaa mipasho. Unaona anaongea jambo moja muda mrefu kwa kuwa ni nyeti na hatoacha mpk litekelezeke. Juzi kulikuwa na wimbo mpya wa kilimo kwanza na sasa unaanza kufifia, kwa hiyo wewe na akili yako nyingi unataka kiongozi mwenye kuja na maneno mapya kila siku bila kuyatekeleza. Mnaturudisha nyuma wenzenu kwa uamuzi wenu wa kufikiri kwa kutumia viuongo vya kukalia. Usije ukanisababishia BAN bure. Nenda kwenye jukwaa la MMU kuna mada kwa ajili yenu, kule kila siku kuna maneno mapya, huku ni maneno yaleyale kila siku MAENDELEO, UFISADI, MAENDELEO , UFISADI, MAENDELEO, UFISADI
 
Alichoonger Dr.Slaa ndicho kilichopo na ubaya au uzuri hali hii haichagui vyama either..CDM,CCM,CUF,TLP nk wote tuna face ugumu huu wa maisha uliopo sasa Tanzania.

Currently life is too hard for Tanzanians..Pesa halina thamani,, bidhaa adimu zinazidi kulipuka bei,, and worse of all genge la watu wachache wameshaishindilia serikali mfukoni wao ndio wanapanga nini kifanyike nchi hii,, Aaaaargh,,Mwezi uliopita a week b4 xmas nilimtandika vibao mhindi mmoja mtaa wa Mosque kwa kuikataa fedha ya Tanzania akinilazimisha nimlipe kwa US $ baada ya kununua vitu dukani kwake.

Wasalaam,

Mbez ibeach.
 
Dr Slaa ameongea mambo ya msingi sana yanayogusa maisha yakila siku ya mtz. Itaongeza imani ya wananchi akitoa njia mbadala za kisayansi zakutatua mfumuko wa bei na kushuka kwa dhaman ya shilingi. Niwakati wakutoa altenatives kama walivyofanya wakati wa bajeti. Wabaki watz wavivu wakufikir na wepesi wakuhongwa kushabikia serikali zembe!!
 
Nikisema hawana akili hao akina Jakubumba na KATIKATI nitakua nimekosea bali msemo sahihi ni akili zao zimekosa virutubisho bora kuweza kung'amua na kutatua matatizo. Katika mambo ya msingi yaliyoongelewa na Dr. sikudhani kwamba mwa JF yeyote yule angejitokeza na kupinga au kukosoa jambo lolote aliloliongea Dr. Slaa. Akili zenu zinahitaji kuwa rejuvanated kila baada ya muda mfupi.
 
hii nchi bwana tunaleta siasa hata ktk mambo yasiyohitaji siasa
 
Ni wajinga sana mkuu na tena brainwashed!

The only thing they have ni uwezo wa kuingia humu, wengi wa watanzania wa kawaida masikini hawana uwezo wa kingia humu.

Hilo la ujinga wao, nadhani utaweza kujiridhisha mwenyewe, mlo una uwezo wa kununua uhuru na huyu anaonekana ni mtoaji wa pilau kama hana uhusiano na watoaji pilau!

Atakuwa amezaliwa kwenye neema ya wagawa pilau na mbuzi, those who are taking adavantage of them dummies, those who are sometimes acting like dumbs!

There aint no diffrence, kuna watu hutakaa uweze kuwaelewesha, hao labda waondolewe kwa nguvu kwenye madaraka, lakini kusubiri na kutegemea eti wabadilike, hilo haliwezekani hata siku moja na ni kama ndoto ya mchana, hii ni kwasababu hawatoweza kubadilika kamwe hadi watakapoona hatari kwenye maisha yao.
 
Ndio kasema nini Kama is porojo tupu? Kuna solution hapo? Daah, ikiwa upinzani ndio upo hivi, msahau kuongoza nchi.
FF sikufichi kabisa, kama ningekuwa nina uwezo wa kukuona, basi "Ningekulima shaba" potelea mbali!
 
jk nchi immemshinda cz amekalia ushikaji tuu wabunge walokataliwa na wananchi leo hii ni mabalozi!!! tatizo ni ushikaji tuu ndio anaouweza!!! tunaisubiri2015 hope lazma tumuondoe yeyote ataewekwa na ccm!!!
 
Ni tathimini makini kutoka kwa Dr. Slaa, na ni kweli hali ni mbaya na inajionyesha wazi kabisa. Ninaomba kikao cha tarehe 22 januari CHADEMA wafikirie namna gani wataweza kushawishi vyombo vya habari kwa maana ya TVs na Radio stations ili wapate nafasi ya kutosha kurusha taarifa na maamuzi mbalimbali ya chama, ikiwezekana hata kuandaa vipindi vya kuelimisha jamii.

Nashukuru sana.
 
Ama kweli ma brother jakubumba akili yako ya kufikri ni ndogo zaid ya mbegu ya mchicha,i think u a under 15yrz ni bora kukuchangie hela ununue midoli na mchele ili mcheze vzuri na watoto wenzako
 

jakubumba ..!!!! Tatizo lako mtu akipinga upuuzi wako unazani ni cdm?! Akili mbovu tu wewe! Mimi hapa nimekuwa mpenzi wa sisiem kwa muda mrefu lakini hali ilivyofikia inakera na kuchosha yaani kwa kifupi sifagilii mienendo ya sisiem kabisa kwa sasa!. Ni ukweli usiopingika kuwa cdm ndicho chama kimeonyesha umakini wa kuisuta serikali kwa mapungufu yanayo onekana...sasa itashangaza mtanzania kama wewe mwenye akili unaona maisha yanazidi kuwa magumu alafu unakandia mtu mwenye hoja za msingi kama dr slaa! Mimi huwa na mashaka kidogo na watu wa namna yako kuwe huwenda hata wewe una faidika na haramu inayochumwa na magamba!
 
Laiti kama serikali yetu ingekuwa sikivu kuyafanyia kazi hata yale yanayosemwa na vyama vya upinzani. Sijui wanaogopa nini, the issue is not who initiated but who did it!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…