Dk. Slaa aliipatia CHADEMA wabunge zaidi ya 30, Lowassa ameipatia CHADEMA wabunge 22

Uchambuzi wa takwimu wa aina hii ni wa kipuuzi. Hoja kuu hapa ni kukua. Kukua kuna kikomo. Mfano, haiwezakan kila mwaka ukawa unakua kwa 5cm. Maana yake kungekuwa na watu warefu mpaka wanagusa mawingu. Act yaweza kukua kwa 200%, lakin co ccm wala chadema,wala cuf.
 
Bingo!
 
Ungeendeleza utafiti wako kwa kutujulisha tulikua na madiwani wangapi na sasa tumepata wangapi,tulikua na halmashauri ngapi na sasa tumepata ngapi...pia usisahau kutuambia tulikua tunapata ruzuku kiasi gani na sasa tutapata kiasi gani....ila kwa akili yako finyu sidhani kama utaweza

Mkuu tunaanzia hapa kuona kama nyomi za Lowassa zina wiana na idadi ya wabunge waliopatikana, kisha mengine yatafuata.
 
Wakati aliyekuwa katibu mkuu wa CHADEMA, Dk. Wilbrod Slaa anagombea Urais mwaka 2010, CHADEMA ilikuwa na wabunge wa kuchaguliwa na viti maalumu wasiozidi 10 ( Ndesamburo, Zitto Kabwe, Dk. Slaa, Halima Mdee na wengineo) baada ya uchaguzi CHADEMA ilivuna viti vya ubunge zaidi ya 30 na kuifanya iwe na wabunge wa kuchaguliwa na viti maalumu wapatao 48 na hivyo kuunda kambi ya rasmi ya upinzani bungeni.

Lakini hali ya mambo imekuwa tofauti kabisa mwaka huu wa 2015 ambapo CHADEMA ilimsimamisha ndugu Edward Lowassa kama mgombea wa Urais huku akiungwa mkono na vyama vya CUF, NCCR na NLD kwani CHADEMA imepata wabunge wa kuchaguliwa na viti maalum wapatao 70 ambalo ni ongezeko la wabunge 22 tu kutoka wabunge 48 waliowapata mwaka 2010.

Hivyo basi CHADEMA kwa kumsimamisha Lowassa mwaka 2015 kama mgombea wake kimepata wabunge wachache ukilinganisha na wabunge waliowapata mwaka 2010 kwa kumsimamisha Dk. Slaa kama mgombea wake bila ya kuungwa mkono na chama chochote.

Nadhani unasahau mazingira ya mwaka 2010 na mwaka 2015.
Na pia hukuzingatia mambo yafutayo:

Aina ya mgombea aliyewekwa na CCM kwa mwaka 2015 na yule wa mwaka 2010 ni tofauti sana.

Nguvu ya pesa waliyotumia CCM kwa mwaka 2015 na 2015 ni tofauti sana.

Eneo anapotoka na nguvu ya mgombea wa CCM kwa mwaka 2015 na 2010 ni tofauti sana.

Uhuru wa vyombo vya habari vya binafsi na vya umma kwa mwaka 2010 na 2015 ni tofauti kabisa.

Imani ya watanzania kwa mgombea wa CCM kwa mwaka 2010 ni tofuti kabisa.

Usaliti uliofanywa mwaka 2015 na viongozi wa kuu wa vyama vya upinzani na kuamua kuipigia kampeni CCM ni tofauti na mwaka 2010 ambapo CDM ilikua na watu mahiri kama Zito Kabwe na Dr. Mkumbo.

Kura za wabunge wa Chadema walioshindwa karibu nchi nzima mwaka huu 2015 zilitofautiana kidogo sana na wale washindi kwa upande wa CCM tofauti na mwaka 2010.

Mwaka 2015 Chadema imepata wabunge wengi nchi nzima ukulinganisha na mwaka 2010.

Mwaka 2015 Chadema imeongoza halmashauri na majiji mengi ukilinganisha na mwaka 2010.

Mwaka 2010 Slaa hakuweza kupata viti vingi vya ubunge na udiwani hata mkoani kwake tofauti na mwaka 2015 ambapo Lowasa ameiwezesha Chadema kupata madiwani na wabunge wengi kwenye eneo anakotoka jambo linalotegemewa kwa mgombea yoyote mwenye nguvu ya ushawishi kuwavuta watu wa nyumbani kwake kabla ya maeneo mengine.
Ndio maana hata Kikwete kwa utawala wake wote hakupoteza hata kata moja ya mkoa wake na ndivyo ilivyo kwa magufuli huko Geita,jambo ambalo halikufanyika kwa Slaa mkoani kwake.
Hii ilikua imejitokeza pia kwa mgombea wa CUF ,mzee Lipumba kushindwa kabisa kujijenga mkoani kwake na kukubalika.

Mbinu kubwa ya kisaikolojia na kisayansi ya CCM mwaka 2015 ya kumpata mgombea wa CCM toka kwenye kabila na ukanda wenye watu wengi kuliko maeneo mengine na kutumia vyombo vya habari vya ukanda huo na kufanya ushawishi uliokua na harufu ya ukabila pia ilikua ni kete kubwa ya kuwafanya watu waliokua wamejipambanua kama wanaChadema kurudi CCM na kumpigia Magufuli waliyemuona kama mtoto wa nyumbani jamba ambalo mwaka 2010 halikuwepo.

Na pia ukumbuke kuwa mwaka 2015 kama Lowasa asingetoka CCM na CCM ikawa moja chini ya mgombea wao ndugu John Pombe Magufuli basi ushindi wa CCM ungekua ni zaidi ya asilimia
90% na CDM isingepata Viti zaidi ya vitano vya ubunge. Hii ni kutokana na mbinu nyingi na mikakati mingi ya CCM isingevuja na kuwafikia wapinzani .

Pia kuna kila dalili kuwa mwaka 2015 kama Lowasa asingekubalika na kupokelwa ndani ya UKAWA suala la kumsimamisha mgombea mmoja lisingewezekana kwa Lipumba na Slaa kila mmoja alijua alichokua anafanya na malengo ya kila mmoja yalikua ni kuendelea na siasa za harakati za kujijenga tu bila kuwa na nia ya dhati ya kushika dola.Kwao siasa ni maandamano na fujo tu.

Kwa kifupi Lowasa amebadili siasa za Tanzania na kuwa za kushindania kushika dola badala ya kufanya fujo.
 
Ungeendeleza utafiti wako kwa kutujulisha tulikua na madiwani wangapi na sasa tumepata wangapi,tulikua na halmashauri ngapi na sasa tumepata ngapi...pia usisahau kutuambia tulikua tunapata ruzuku kiasi gani na sasa tutapata kiasi gani....ila kwa akili yako finyu sidhani kama utaweza

Mkuu tunaanzia hapa kuona kama nyomi za Lowassa zina wiana na idadi ya wabunge waliopatikana, kisha mengine yatafuata.
 
Hicho ni kiwango cha mwisho kabisa cha mtu kufikiri. Wewe unachoshindwa kuelewa hapa ni hiki; Dk. Slaa aliongeza wabunge zaidi ya 30 kutoka idadi iliyokuwepo kabla ya yeye kugombea wakati Lowassa kaongeza wabunge 22 kutoka idadi iliyokuwepo kabla ya yeye kugombea.
Sasa si bora umshauri Dr mihogo muanzishe chama mkavune wabunge 30 au zaidi? yanini kutoa mapovu hapa wakati mnaweza kunufaika kimyakimya?
 
hivi kutoka kura ml 2 mpaka kura ml 6 kama kichwani ni mzima utajua kati ya dr slaa na lowassa nani kakiletea chama faida? kutoka 48 wabunge mpaka 70 kama uoni tofauti kamwone dr wa Akili Ndugu.

Angalia na vitu vingi. Idadi ya waliojiandikisha. Idadi ya wapiga kura ongezeko la vijana
 
patriotic crusader kama kusoma hujui hata picha huoni? slaa wako walipata wabunge 22 tu na wabunge wa viti maalum 26 na Lowassa amepata wabunge 34 na wabunge wa viti maalum 36 na akawasaidia CUF wakapata wabunge wengi bara. sasa hapo nani zaidi?
Wakati aliyekuwa katibu mkuu wa CHADEMA, Dk. Wilbrod Slaa anagombea Urais mwaka 2010, CHADEMA ilikuwa na wabunge wa kuchaguliwa na viti maalumu wasiozidi 10 ( Ndesamburo, Zitto Kabwe, Dk. Slaa, Halima Mdee na wengineo) baada ya uchaguzi CHADEMA ilivuna viti vya ubunge zaidi ya 30 na kuifanya iwe na wabunge wa kuchaguliwa na viti maalumu wapatao 48 na hivyo kuunda kambi ya rasmi ya upinzani bungeni.

Lakini hali ya mambo imekuwa tofauti kabisa mwaka huu wa 2015 ambapo CHADEMA ilimsimamisha ndugu Edward Lowassa kama mgombea wa Urais huku akiungwa mkono na vyama vya CUF, NCCR na NLD kwani CHADEMA imepata wabunge wa kuchaguliwa na viti maalum wapatao 70 ambalo ni ongezeko la wabunge 22 tu kutoka wabunge 48 waliowapata mwaka 2010.

Hivyo basi CHADEMA kwa kumsimamisha Lowassa mwaka 2015 kama mgombea wake kimepata wabunge wachache ukilinganisha na wabunge waliowapata mwaka 2010 kwa kumsimamisha Dk. Slaa kama mgombea wake bila ya kuungwa mkono na chama chochote.
 
patriotic crusader kama kusoma hujui hata picha huoni? slaa wako walipata wabunge 22 tu na wabunge wa viti maalum 26 na Lowassa amepata wabunge 34 na wabunge wa viti maalum 36 na akawasaidia CUF wakapata wabunge wengi bara. sasa hapo nani zaidi?

Mkuu kajipange upya, umekurupuka haujaelewa kabisa maudhui ya huu uzi
 
Hicho ni kiwango cha mwisho kabisa cha mtu kufikiri. Wewe unachoshindwa kuelewa hapa ni hiki; Dk. Slaa aliongeza wabunge zaidi ya 30 kutoka idadi iliyokuwepo kabla ya yeye kugombea wakati Lowassa kaongeza wabunge 22 kutoka idadi iliyokuwepo kabla ya yeye kugombea.

Umetazama na muda slaa aliokuwepo Cdm na muda ambao Lowassa alioingia chadema:what: usikurupuke tu..!!
 
Huyu mleta mada ni mpotoshaji kama waliomtuma.
Amesahau kuwa wabunge wanachaguliwa na wananchi na sio ngombea urais.
Mbona Magufuli anakubalika sana lakini wabunge kwenye chake wamepungu zaidi.
Hata kura za ujumla kwa wagombea wote wa ubunge wa chadema zimeongezeka sana.
Slaa yupo CHADEMA tangu 1995 alipovuliwa gamba kule CCM japo bado alikua anaipenda mpaka 2015.
Miaka 20 ndani ya chama lakini Lowasa amekaa ndani ya CHADEMA kwa miezi miwili tu na matunda yake yameonekana ikiwa ni pamoja na utulivu wa nchi bila kuhamasisha vijana wafanye fujo ili ajijenge kisiasa kama alivyofanya Slaa na kusababisha vijana wengine kuuawa.

Isitoshe Slaa alikua ndiye katibu mkuu wa chama ilikua ni wajibu ake ajijenge chake.

Hakuna mtu anayemchukia Slaa au kusema kuwa hakutoa na mchango wakw kwnye chama lakini kitendo alichofanya cha kukimbia chama na kuwanadi wagombea wa CCM kilikua ni usaliti kwani alikua na dhamira ya kuirudisha CCM madarakani ili iendelee kuiminya demokrasia.
Slaa amechangia kwa kiwango kikubwa kutuletea wabunge wale wale wa ndio mzee kutoka CCM.
Kama katibu mkuu a mwanaharakati wa kupigania domokrasi na sio madaraka alipaswa kusimama kidete na kuhakikisha kuwa UKAAWA wanapata viti vingi vya wabunge ili kujenga bumge imara litakalobadili mfumo wenye usawa kweny siasa za vyama vingi. Leo hii huyo Slaa wanayemsifia ndni ya ccmm ccm,ikaitokea Siku moja wapinzani wakashinda bado ataendelea kulalamikia na kudai mfumo Mzuri wa kusimami mfumo wa vyma
 
Kwa kumsimamisha EL kama mgombea inaashiria kuwa Chadema walikuwa na washauri wabovu sana kwenye upande wa reputation risk...it was clear kuwa hiyo pekee ingewafanya waanguke

Kwa hiyo unafikiri CCM wao walikua tayari kumkabidhi Slaa nchi. Mbona alipewa nafasi ya kugombea akashindwa na hata angeshinda asingepewa ushindi.
Hata Dr. Slaa alilalamikia hujuma iliyokua imefanywa na CCM wakati alipogombea. Alisema kuna kontena la mas
Masanduku ya kura limekamatwa lakini hakutuonyesha hata picha.
Tena kwenye uchaguzi wa mwaka 2010 wananchi waliruhusiwa walinde kura zao umbali wa mita 200 jambo ambalo kwa mwaka huu halikuwepo lakini CCM wametolewa jasho.
 
Wakati aliyekuwa katibu mkuu wa CHADEMA, Dk. Wilbrod Slaa anagombea Urais mwaka 2010, CHADEMA ilikuwa na wabunge wa kuchaguliwa na viti maalumu wasiozidi 10 ( Ndesamburo, Zitto Kabwe, Dk. Slaa, Halima Mdee na wengineo) baada ya uchaguzi CHADEMA ilivuna viti vya ubunge zaidi ya 30 na kuifanya iwe na wabunge wa kuchaguliwa na viti maalumu wapatao 48 na hivyo kuunda kambi ya rasmi ya upinzani bungeni.

Lakini hali ya mambo imekuwa tofauti kabisa mwaka huu wa 2015 ambapo CHADEMA ilimsimamisha ndugu Edward Lowassa kama mgombea wa Urais huku akiungwa mkono na vyama vya CUF, NCCR na NLD kwani CHADEMA imepata wabunge wa kuchaguliwa na viti maalum wapatao 70 ambalo ni ongezeko la wabunge 22 tu kutoka wabunge 48 waliowapata mwaka 2010.

Hivyo basi CHADEMA kwa kumsimamisha Lowassa mwaka 2015 kama mgombea wake kimepata wabunge wachache ukilinganisha na wabunge waliowapata mwaka 2010 kwa kumsimamisha Dk. Slaa kama mgombea wake bila ya kuungwa mkono na chama chochote.

Wewe kweli ni Mr.LIIII PUUUU MBAAAAA VUUUUUU
 
hivi kutoka kura ml 2 mpaka kura ml 6 kama kichwani ni mzima utajua kati ya dr slaa na lowassa nani kakiletea chama faida? kutoka 48 wabunge mpaka 70 kama uoni tofauti kamwone dr wa Akili Ndugu.

Milioni 2 ya Milioni 8 na Milioni 6 ya Milioni 15. Naiona tofauti ndogo sana.
 
Kama kumbukumbu zangu zipo sawa wabunge 48 ni jumla ya wabunge wa kuchaguliwa na viti maalumu.Leo CHADEMA ina viti 70 bila kengeza la ushabiki wameongeza mtaji mkubwa sana.
 
Wakati aliyekuwa katibu mkuu wa CHADEMA, Dk. Wilbrod Slaa anagombea Urais mwaka 2010, CHADEMA ilikuwa na wabunge wa kuchaguliwa na viti maalumu wasiozidi 10 ( Ndesamburo, Zitto Kabwe, Dk. Slaa, Halima Mdee na wengineo) baada ya uchaguzi CHADEMA ilivuna viti vya ubunge zaidi ya 30 na kuifanya iwe na wabunge wa kuchaguliwa na viti maalumu wapatao 48 na hivyo kuunda kambi ya rasmi ya upinzani bungeni.

Lakini hali ya mambo imekuwa tofauti kabisa mwaka huu wa 2015 ambapo CHADEMA ilimsimamisha ndugu Edward Lowassa kama mgombea wa Urais huku akiungwa mkono na vyama vya CUF, NCCR na NLD kwani CHADEMA imepata wabunge wa kuchaguliwa na viti maalum wapatao 70 ambalo ni ongezeko la wabunge 22 tu kutoka wabunge 48 waliowapata mwaka 2010.

Hivyo basi CHADEMA kwa kumsimamisha Lowassa mwaka 2015 kama mgombea wake kimepata wabunge wachache ukilinganisha na wabunge waliowapata mwaka 2010 kwa kumsimamisha Dk. Slaa kama mgombea wake bila ya kuungwa mkono na chama chochote.
Umezingatia uwepo wa UKAWA na mchakato wa kuachiana majimbo katika uchaguzi huu na kisha kuzingatia ni wabunge wangapi wameongezeka CUF sababu ya uwepo wa UKAWA?
Umekurupuka kama mjomba K wa Futuhi bila shaka.
 
Back
Top Bottom