• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Dk. Slaa aliipatia CHADEMA wabunge zaidi ya 30, Lowassa ameipatia CHADEMA wabunge 22

Yethero Mgale

Yethero Mgale

Verified Member
Joined
Apr 19, 2012
Messages
525
Points
225
Yethero Mgale

Yethero Mgale

Verified Member
Joined Apr 19, 2012
525 225
Wakati aliyekuwa katibu mkuu wa CHADEMA, Dk. Wilbrod Slaa anagombea Urais mwaka 2010, CHADEMA ilikuwa na wabunge wa kuchaguliwa na viti maalumu wasiozidi 10 ( Ndesamburo, Zitto Kabwe, Dk. Slaa, Halima Mdee na wengineo) baada ya uchaguzi CHADEMA ilivuna viti vya ubunge zaidi ya 30 na kuifanya iwe na wabunge wa kuchaguliwa na viti maalumu wapatao 48 na hivyo kuunda kambi ya rasmi ya upinzani bungeni.

Lakini hali ya mambo imekuwa tofauti kabisa mwaka huu wa 2015 ambapo CHADEMA ilimsimamisha ndugu Edward Lowassa kama mgombea wa Urais huku akiungwa mkono na vyama vya CUF, NCCR na NLD kwani CHADEMA imepata wabunge wa kuchaguliwa na viti maalum wapatao 70 ambalo ni ongezeko la wabunge 22 tu kutoka wabunge 48 waliowapata mwaka 2010.

Hivyo basi CHADEMA kwa kumsimamisha Lowassa mwaka 2015 kama mgombea wake kimepata wabunge wachache ukilinganisha na wabunge waliowapata mwaka 2010 kwa kumsimamisha Dk. Slaa kama mgombea wake bila ya kuungwa mkono na chama chochote.
 
okyo

okyo

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2013
Messages
1,989
Points
2,000
okyo

okyo

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2013
1,989 2,000
Hivi wewe ni mzima kwel hata huna aibu unaona hizo namba zinalingana au ni kutaka kujitoa ufahamu..?

Kwa akili yako dr. Slaa angeweza leta hao wabunge ambao wamepatikana sasa hivi?

Tena kwa wizi ambao serikal yako ya ccm imeufanya kuhakikisha inashinda unaona hao wabunge ni wachache embu jitafakari hao wabunge ni wengi mno na nina hakika kama uchaguzi ungekuwa hauna figisu chadema ingepata wabunge wengi zaid acha kujipa matumaini
 
Yethero Mgale

Yethero Mgale

Verified Member
Joined
Apr 19, 2012
Messages
525
Points
225
Yethero Mgale

Yethero Mgale

Verified Member
Joined Apr 19, 2012
525 225
Hivi wew ni mzima kwel hata huna aibu unaona hizo namba zinalingana au ni kutaka kujitoa ufahamu..?

Kwa akili yako dr cassava angeweza leta hao wabunge ambao wamepatikana sasa hivi?

Tena kwa wizi ambao serikal yako ya ccm imeufanya kuhakikisha inashinda unaona hao wabunge ni wachache embu jitafakari hao wabunge ni wengi mno na nina hakika kama uchaguzi ungekuwa hauna figisu chadema ingepata wabunge wengi zaid acha kujipa matumaini
Tatizo lako wewe umesombwa na mafuriko ya Lowassa kwenda CHADEMA, hujui chochote kuhusu CHADEMA zaidi ya kutokwa povu.
 
K

King mark

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2015
Messages
226
Points
225
K

King mark

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2015
226 225
Umetumwa na Dr Mihogo kupima Upepo auu
 
Keneth

Keneth

Senior Member
Joined
Sep 29, 2011
Messages
196
Points
195
Keneth

Keneth

Senior Member
Joined Sep 29, 2011
196 195
nadhani Ruzuku huangaliiii kabisa ya 40% sijui umataka chama kibaki na ruzuku 26%
 
K

Kataa Rushwa

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2015
Messages
673
Points
1,000
K

Kataa Rushwa

JF-Expert Member
Joined May 15, 2015
673 1,000
Malizia Kwa kuweka Matokeo ya urais Kwa awamu zote mbili ndipo nitachangia
 
DuppyConqueror

DuppyConqueror

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2014
Messages
9,446
Points
2,000
DuppyConqueror

DuppyConqueror

JF-Expert Member
Joined Mar 30, 2014
9,446 2,000
Kwa kumsimamisha EL kama mgombea inaashiria kuwa Chadema walikuwa na washauri wabovu sana kwenye upande wa reputation risk...it was clear kuwa hiyo pekee ingewafanya waanguke
 
A

Ambiente Guru

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2012
Messages
2,391
Points
2,000
A

Ambiente Guru

JF-Expert Member
Joined May 21, 2012
2,391 2,000
Elimu ya Futa Ujingi ndo tatizo. Arithmetics!
 
Yethero Mgale

Yethero Mgale

Verified Member
Joined
Apr 19, 2012
Messages
525
Points
225
Yethero Mgale

Yethero Mgale

Verified Member
Joined Apr 19, 2012
525 225
nadhani Ruzuku huangaliiii kabisa ya 40% sijui umataka chama kibaki na ruzuku 26%
Mkuu mimi nimezungumzia idadi ya wabunge, ila kama lengo la Mbowe ni kuongeza ruzuku basi amefaulu.
 
PRINCE CROWN

PRINCE CROWN

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Messages
4,883
Points
2,000
PRINCE CROWN

PRINCE CROWN

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2013
4,883 2,000
hivi kutoka kura ml 2 mpaka kura ml 6 kama kichwani ni mzima utajua kati ya dr slaa na lowassa nani kakiletea chama faida? kutoka 48 wabunge mpaka 70 kama uoni tofauti kamwone dr wa Akili Ndugu.
 
L

Loitore

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Messages
549
Points
0
L

Loitore

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2015
549 0
Tatizo lako wewe umesombwa na mafuriko ya Lowassa kwenda CHADEMA, hujui chochote kuhusu CHADEMA zaidi ya kutokwa povu.
Wewe unajua nini kuhusu chadema:what: au povu linakutoka bure kama ngiri aliekoswa na chui, inamaana wabunge 70 kwa 48 wengi wepi:what: au nyie ndio wale mliopunguziwa maksi ili mfaulu:what:
 
Faru Kabula

Faru Kabula

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2009
Messages
12,309
Points
2,000
Faru Kabula

Faru Kabula

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2009
12,309 2,000
Kuna watu wanaficha ukweli fulani. Wanasema EL aliungwa mkono na vyama vingine vitatu, lakini hawasemi kuwa pia naye aliviunga mkono vyama vingine vitatu ktk ubunge. Je, kwa kuviunga mkono katika ubunge, mbona hawasemi kuwa CHADEMA ilisacrifice kura za ubunge ambazo zingeongeza viti maalum?
 
J

jembe afrika

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Messages
7,297
Points
2,000
J

jembe afrika

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2014
7,297 2,000
Wewe utakua mke wa slaa
 
okyo

okyo

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2013
Messages
1,989
Points
2,000
okyo

okyo

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2013
1,989 2,000
Mleta mada ni mpuuzi tu na anatakiwa puuzwa huu ujinga aliondika hapa anatakiwa akajadiliane na watu wa lumumba wenzie maana hao ndo wanaweza danganyana na kufarijiana wakiamini uwepo wa lowasa haujafanya lolote lakini ukweli wanaujua
 
maishamema

maishamema

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2013
Messages
1,130
Points
2,000
maishamema

maishamema

JF-Expert Member
Joined Jan 11, 2013
1,130 2,000
Unavyopiga hesabu yako piga picha ya UKAWA
 
hamicbaja

hamicbaja

Member
Joined
Oct 8, 2015
Messages
92
Points
95
hamicbaja

hamicbaja

Member
Joined Oct 8, 2015
92 95
Wakati aliyekuwa katibu mkuu wa CHADEMA, Dk. Wilbrod Slaa anagombea Uraisi mwaka 2010, CHADEMA ilikuwa na wabunge wa kuchaguliwa na viti maalumu wasiozidi 10 ( Ndesamburo, Zitto Kabwe, Dk. Slaa, Halima Mdee na wengineo) baada ya uchaguzi CHADEMA ilivuna viti vya ubunge zaidi ya 30 na kuifanya iwe na wabunge wa kuchaguliwa na viti maalumu wapatao 48 na hivyo kuunda kambi ya rasmi ya upinzani bungeni. Lakini hali ya mambo imekuwa tofauti kabisa mwaka huu wa 2015 ambapo CHADEMA ilimsimamisha ndugu Edward Lowassa kama mgombea wa Urais huku akiungwa mkono na vyama vya CUF, NCCR na NLD kwani CHADEMA imepata wabunge wa kuchaguliwa na viti maalum wapatao 70 ambalo ni ongezeko la wabunge 22 tu kutoka wabunge 48 waliowapata mwaka 2010. Hivyo basi CHADEMA kwa kumsimamisha Lowassa mwaka 2015 kama mgombea wake kimepata wabunge wachache ukilinganisha na wabunge waliowapata mwaka 2010 kwa kumsimamisha Dk. Slaa kama mgombea wake bila ya kuungwa mkono na chama chochote.
kumbe kuwamjinga cyo kazi ...huyo dk.slaa wako kaifanyia nn chadema wakati kipindi yupo kambi ya upinzani walikuwa wabunge 48 ....wakati Leo hii lowasa kaipa chadema wabunge 39 kutoka 25 ,cuf 22 kutoka 10 na na vyama vingine pia kufikia wabunge 74...wakati viti maaluma CCM 66,cuf 10 na chadema 36 .......harafu ww unaropokaropoka tu na utakubali wakati huo soda imepanda bei.......
...
 
Faru Kabula

Faru Kabula

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2009
Messages
12,309
Points
2,000
Faru Kabula

Faru Kabula

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2009
12,309 2,000
Unapowashindanisha EL na Dr. Mihogo katika kuongeza kura na viti vya ubunge CHADEMA, ujue automatically kwa upande wa pili unawashindanisha JK na JPM katika kupoteza kura na viti vya ubunge. Kwa hiyo tungependa tuone pia thread za nani mkali wa kupoteza kura na viti kwa wapinzani kati ya JK na JPM.
 

Forum statistics

Threads 1,402,624
Members 530,953
Posts 34,400,537
Top