Dk. Slaa aibuka na Nyaraka za SIRI

Naombeni majibu kabla sijamaliza mbege.

[/QUOTE]Wewe kila muda unakunywa mbege kazi unafanya saa ngapi?
 
Wewe kweli osokoni Mbowe anavyompa JK mkono au siku ile Chadema walivyokwenda Ikulu wote walikuwa wanampa mkono JK walikuwa wanashukuru nini? Vipi zile kontena zipo wapi?

Unajua mkuu Ritz kuna wakati huwa najiuliza wewe kweli ni mtanzania? maana unajitahidi kutetea kila uovu wa hii
serikali,hata kama maovu yao yako wazi kiasi gani wewe lazima utafute kushindana na kutetea.Japo mra mojamoja
kuwa mzalendo basi hata kama huipendi Tanzania na watu wake.
 
Dr Slaa ebu wataje hao vigogo tuwajue sio tu kusema unazo nyaraka za siri Dr Slaa, ulishawai kutuambia kuwa kuna umekamata kontena mbili umezikamata Tunduma zimejaa karatasi za kupigia kura kutoka China zilipolikuja kufunguliwa na polisi mbele ya viongozi wa Chadema wakakuta vipodozi Dr Slaa akawakimbia waandishi wa habari...tumeishakuzoea.

Hilo la contena ni kweli kulikua na karatasi za kupigia kura mlilichakachua!!!
 
Dr Slaa ebu wataje hao vigogo tuwajue sio tu kusema unazo nyaraka za siri Dr Slaa, ulishawai kutuambia kuwa kuna umekamata kontena mbili umezikamata Tunduma zimejaa karatasi za kupigia kura kutoka China zilipolikuja kufunguliwa na polisi mbele ya viongozi wa Chadema wakakuta vipodozi Dr Slaa akawakimbia waandishi wa habari...tumeishakuzoea.
Ritz, wakati mwingine napata shida sana kuhusu uwezo wako duni wa kufikiri na kutafakari mambo. Hivi, yale majina ya mafisadi yaliyotajwa na Dr. Slaa pale Mwembe yanga, wewe na chama chako cha mafisadi mlichukua hatua gani dhidi yao zaidi ya kuanzisha ule wimbo wenu wa kipumbavu wa kujivua gamba?
 
Huyu mzee amekosa mwelekeo, yeye kila siku ni document za siri.
ndizo zilizoliangusha baraza zima la mawaziri la dhaifu mwaka 2008,ndizo zilimtaja dhaifu ni mmoja katika list ya mafisadi wakubwa wa nchi hii na sasa hivi mzimu unamzunguka hadi anashindwa kukaa ikulu
 
Dr. tunakutakia mafanikio mema maana ccm inajificha kwenye mtu usiokuwa na matawi huku mvua ikinyesha kamua sana mkapa watoe maziwa
 
[/QUOTE]Mkuu hivi kuwa raia wa Tanzania kwa mujibu wa maandiko yako mpaka uwe CHADEMA?
 
Yes mkubwa, wape piriton zao walale fofo fofo wakiamka watakuta maajabu.
 
Dr Slaa ebu wataje hao vigogo tuwajue sio tu kusema unazo nyaraka za siri Dr Slaa, ulishawai kutuambia kuwa kuna umekamata kontena mbili umezikamata Tunduma zimejaa karatasi za kupigia kura kutoka China zilipolikuja kufunguliwa na polisi mbele ya viongozi wa Chadema wakakuta vipodozi Dr Slaa akawakimbia waandishi wa habari...tumeishakuzoea.

Ritz naye, kiboko yake!!! Ngoja azitoe sasa. Sijakuona kule kwenye ushahidi wa Mh. Tindu Lisu kuhusu teuzi za majasi vihiyo. Pale napo vipi, kachungulie mkuu utupe mawaidha. Tena kuna waliokuulizia kule maana hawajaona nondo zako. Welcome.
 
Ritz, wakati mwingine napata shida sana kuhusu uwezo wako duni wa kufikiri na kutafakari mambo. Hivi, yale majina ya mafisadi yaliyotajwa na Dr. Slaa pale Mwembe yanga, wewe na chama chako cha mafisadi mlichukua hatua gani dhidi yao zaidi ya kuanzisha ule wimbo wenu wa kipumbavu wa kujivua gamba?
Hata sikuelewi ulikuwa unataka kusemaje.Mie nimeulizia yale makontena ya karatasi za kupigia kura wewe umekuja na porojo zingine.
 
Wakati fulani alipata kusema kuwa yeye si mtu wa kukurupuka. Akitoa 'bomu' ujue lina ukweli 100%.
Siku aliposema bungeni kuhusu EPA kwa mara ya kwanza sikuamini, nilidhani Dr. Slaa anafanyia kazi porojo za kwenye mtandao(Internet) kiasi kwamba nikaona sasa Dr. watamfunga.

Kumbe zilikuwa habari za kweli tupu. Tunakupongeza Dr. wa kweli tuko nyuma yako hadi hapo kitakapoeleweka.
 
Dr Slaa ebu wataje hao vigogo tuwajue sio tu kusema unazo nyaraka za siri Dr Slaa, ulishawai kutuambia kuwa kuna umekamata kontena mbili umezikamata Tunduma zimejaa karatasi za kupigia kura kutoka China zilipolikuja kufunguliwa na polisi mbele ya viongozi wa Chadema wakakuta vipodozi Dr Slaa akawakimbia waandishi wa habari...tumeishakuzoea.

Kwa jinsi ulivyo uliza swali, Mimi nahisi wewe ni mmojawapo. Hivyo weka jina lako mwenyewe. si lazima DR. Slaa akutaje.
 
Hata sikuelewi ulikuwa unataka kusemaje.Mie nimeulizia yale makontena ya karatasi za kupigia kura wewe umekuja na porojo zingine.

Hivi yale majina ya mafisadi yako wapi?

Unapo uliza karatasi zi;ienda wapi, hivi hilo container lilikuwa kwa Dr. Slaa au polisi? Kama Sereikali ya CCM imeshindwa kuwataja kwa majina MAFISADI/wamiliki wa DOWANS, unategemea nini huko polisi na Container la lenye karatasi za kupigia kura kwani polisi ni vibaraka wa CCM hivyo wanajua walichokifanya kwenye container.
 
Hata sikuelewi ulikuwa unataka kusemaje.Mie nimeulizia yale makontena ya karatasi za kupigia kura wewe umekuja na porojo zingine.
Nivigumu kunielewa kwa sababu uwezo wako wa kufikiri na kuelewa ni mdogo sana, la si hivyo usingekuwa una shinda hapa jamvini ukiwatetea mafisadi kwa utetezi duni sana.
 
Na nyie Pro-Chadema JF mnaokesha jamvini kumtetea Dr Slaa achukuwe madaraka hawape vyeo.
 
tatizo hapa ni kua serikali na viongozi hawajali pigeni makelele ongeeni kwenye majukwaani...mwisho wa siku wao ndio wanaenda benki kuingizia dola million 20 kwenye account yake wakati nyie mnapigwa na jua kulalamika

Ndo tutakapowa mwaga wakati ukifika..........
 
Dr Slaa ebu wataje hao vigogo tuwajue sio tu kusema unazo nyaraka za siri Dr Slaa, ulishawai kutuambia kuwa kuna umekamata kontena mbili umezikamata Tunduma zimejaa karatasi za kupigia kura kutoka China zilipolikuja kufunguliwa na polisi mbele ya viongozi wa Chadema wakakuta vipodozi Dr Slaa akawakimbia waandishi wa habari...tumeishakuzoea.
Wale waliotajwa mwembe yanga mliwafanyia nini?
 
Na nyie Pro-Chadema JF mnaokesha jamvini kumtetea Dr Slaa achukuwe madaraka hawape vyeo.
Ritz, hapo kwenye rangi nyekundu ulitaka kusema nini? au ndio matatizo yako ya uelewa mdogo? Hata hivyo usipate shida sana kwani kama cheo tayari ninacho, kwa vile situmii jina langu halisi hutafahamu. Vumilia uchungu ndugu yangu, wenzio pamoja na kuwa na vyeo ndani ya serikali ya magamba hatupo tayari kabisa kuwaunga mkono mafisadi.
 
Back
Top Bottom