kidudukuntu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 286
- 206
Huiajibu hoja yangu thibitisha uliloliandika siyo kumshambulia bila hoja makini thibitisha yoyote yule anapaswa kufanya kazi na ale arifuuuu no more no lessKalaghabahooooo!!!! Unafikiri anapenda kwenda kuosha vyombo na uzima ule ulaya...ulaya.. . Hapendi apumzike na kucheza wajukuu umri huu?? Unafikiri kijana yule eti anatafuta maisha ulaya??? Jiongezee kidogo tu....ni unafiki ule unamfanya awe kama popo sasaa!!!!
Wanauza duka moja na Ngabu!!Kwa kiswahili fasaha, Dr.Slaa ameajiriwa kuuza duka la mtu huko Canada. Ni muuza duka.
Hongera Dr.Slaa.
Kodi za kule si lelemama na ukimuajiri hata house girl lazima umpe mshahara kulingana na kiwango kilichowekwa nk.. Na kila kitu lazima kiwe na bima50bil ishakata? Angebaki hapa halafu akajenga kiwanda cha hizo bidhaa za majumbani si angefanya exportation mpaka huko Canada kwenye hiyo min supermarket? 50bil si haba hasa kwa MTU wa rika lile.
Akome. Ina maana hana tofauti na wale madiwani wake waliohongwa kule shinyanga na arusha kisha wakaambulia hewa na ahadi zisizotekelezeka hadi leo? Mungu hajawahi kumuacha mnafiki kavimbiwa kwa shibe hata mara moja! Ukome dr wa mihogo kwa unaa wako!Hakupata bili 50,aliwekewa kwenye akaunti 2b alivyoenda kuchota akakuta milioni 2!akauliza why akaambiwa aliyeweka 2b anasema alikosea sifuri 3,Dr. alilia sana lakini tayari alishajiuzuru.chezea sisiyem
Karma is bitch... Where is lipumba nowHivi kuishi na kujinasibu unafanyakazi Canada no ujanja au ujinga...
Dr mzima unakosa uzalendo kujenga uchumi wa nchi yako, unaumia na baridi unaishi maisha ya dhiki ya kujificha halafu unaibuka unautangazia umma upuuzi?
elimu itakukomboa endapo utaishi kwenye mstar mnyofu
Karma is bitch... Where is lipumba nowHivi kuishi na kujinasibu unafanyakazi Canada no ujanja au ujinga...
Dr mzima unakosa uzalendo kujenga uchumi wa nchi yako, unaumia na baridi unaishi maisha ya dhiki ya kujificha halafu unaibuka unautangazia umma upuuzi?
elimu itakukomboa endapo utaishi kwenye mstar mnyofu
[emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] mmemfanya kitu kibaya sana mjue... Mungu anawaonaHata kama ndio angekuwa mhudumu mradi kodi ya kulipa pango na mama mushumbusi na mtoto wao wanaishi haina haja ya kumjadili ndivyo alivyoamua kuishi kusema amepanda au ameshuka haina mashiko ili hali yeye alishatangaza kuachana na unafiki wa kisiasa!
Sidhani kama hayo ndio maisha aliyoyachagua Dr.Slaa, hayo ndio maisha anayolazimika kuyaishi hata kama hajayachagua.Ndo maisha yake aliyoyachagua
Wala sio kitu cha maana sana kuwa muuza duka huko Canada. Ndio kazi za kawaida sana za watu wa kipato cha chini wanazozifanya huko. Waafrika wengi waliokimbilia huko ndio kazi zao. Hazihitaji usomi wala utaalamu.Hivi mnadhani supermarket Za Canada ni sawa na za Hapa bongo?
Huo mshahara wake wenyewe hata hakuna mfanyakazi wa bongo anaweza ufikia.....
Hivi mnadhani supermarket Za Canada ni sawa na za Hapa bongo?
Huo mshahara wake wenyewe hata hakuna mfanyakazi wa bongo anaweza ufikia.....
Tutajie wewe unaeujua huo mshahara mkubwaHivi mnadhani supermarket Za Canada ni sawa na za Hapa bongo?
Huo mshahara wake wenyewe hata hakuna mfanyakazi wa bongo anaweza ufikia.....