Dk. Shein amwaapisha Fatma Gharib Bilal kuwa katibu mkuu wizara ya maendeleo ya jamii

aaaaahaaaaaaaaaaaaaaaa. we Tanzanians, these seems to be common practices to us, you just imagine what had influenced this president?
 
hasa zanzibar wanapeana sana uongozi kwa kufuata wazazi kama akina karume, mwinyi bilali, na wengineo. kama uchifu vile!
 

thanks kwa kutujuza
 
Hivi kuna kiongozi yeyote Tanzania nzima ambaye mkewe au mwanaye hana mkono ndani ya serikali hii?..
 
Siyo ZAnzibar ma sultani CCM ndivyo walivyo hata bara ni haya haya au?
 
Fatma Bilal ni mdogo wake Dr Bilal. Huyu dada alikuwa anafanya kazi UNFPA - Zanzibar office. Mtu powa kabisa.
 
jamani hivi mmesahau hizh serikali 2 yani zenj na tz bara? wote hawa ni vilaza na ndo maana wapo kwenye contradictory union.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…