Dk. Shein amwaapisha Fatma Gharib Bilal kuwa katibu mkuu wizara ya maendeleo ya jamii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dk. Shein amwaapisha Fatma Gharib Bilal kuwa katibu mkuu wizara ya maendeleo ya jamii

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nngu007, Jun 21, 2011.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  * Msaada huyu ni Mke wa Gharib Bilal? Makamu wa Rais Tanzania?

  [​IMG]
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein, akimuapisha Fatma Gharib Bilal, kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ustawi wa Jamii, Maedeleo ya Vijana, Wanawake na Watoto,hafla hiyo ilifanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar.(Picha na Ikulu Zanzibar).
   
 2. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,852
  Trophy Points: 280
  Labda majina tu......wenzetu wale majina yao hufananafanana....Amani Abeid Karume...Abeid Amani Karume :der:
   
 3. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #3
  Jun 21, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  mmmmh!
   
 4. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #4
  Jun 21, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  Duh!.. Tanzania bwana, kama hakuna watu wengine! Yaani watu wanapeana uongozi kindugundugu tuu... AAAaaauuauauahhggggh!..
   
 5. a

  andry surlbaran Senior Member

  #5
  Jun 21, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yani mbaka ni google lakini hapatikani, nahisi mkewe maana wale si wana oa wake 7
   
 6. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #6
  Jun 21, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  mwenye nacho siku zote anaongezewa.
   
 7. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #7
  Jun 21, 2011
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,668
  Likes Received: 21,901
  Trophy Points: 280
  Kwa nini msifikiri kuwa ni mwanae?
   
 8. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #8
  Jun 21, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Mwanae Mzee hivyo? Gharib Bilal is only 67yrs old
   
 9. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #9
  Jun 21, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Mhhhh!
   
 10. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #10
  Jun 21, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Zanzibar ni nchi ya kisultani!hakina cha ajabu hapa!!
   
 11. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #11
  Jun 21, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,422
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Ndio maana hawakumtaka ali juma shamhuna...alipania kuumaliza usultani zanzibar!
   
 12. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #12
  Jun 21, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 741
  Trophy Points: 280
  Labda nyumba ndogo yake.
   
 13. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #13
  Jun 21, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  pengine hawana undugu kabisa
   
 14. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #14
  Jun 21, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Wake zake hao!

  [​IMG]
   
 15. meddie

  meddie JF-Expert Member

  #15
  Jun 21, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Huyu alikuwa head wa suboffice ya United Nations Population (Fund UNPF) zenj, kwa takribani miaka minne sasa, kweli ni ndugu/mdogo wa Bilal alizawadiwa umakamu bara na ccm, lkn tukiachana na hayo ni msomi alichukua degree yake Urusi miaka hiyo na kwa ufupi mambo anayaweza! Mbaya ni kumbeba ndugu wakati mambo hayawezi!!!!!!!
   
 16. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #16
  Jun 21, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Hawa kwenye Picha wanaonekana ni Vijana kidogo; na yeye anavaa pete kidole cha tatu mkono wa kushoto...
   
 17. J

  JokaKuu Platinum Member

  #17
  Jun 21, 2011
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,794
  Likes Received: 5,065
  Trophy Points: 280
  ..yuko na wake wawili hapo.

  ..halafu ana text kwa mke wa tatu, wa nne, etc etc.
   
 18. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #18
  Jun 21, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Dr.Bilal completed his primary education at Makunduchi, district of Zanzibar in 1958 and attended his secondary education at Beit-el-ras in 1962 and later on joined Lumumba secondary schools in Zanzibar. Before completing Form Five Dr.Bilal received a Scholarship to go to America, where he studied physics at Howard University and graduated his first degree in physics and mathematics in 1967. After undergraduate studies he joined the University of Berkely of Carlifonia for MA degree in Physics in 1969. After graduation he began work as assistant to the education, Teaching Assistant...
  Bilal he's very Educated Nuclear Scientist... Hawa wanawake Miaka ya 60's nadhani walikuwa wadogo sana...
   
 19. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #19
  Jun 21, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,789
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  George KAHAMA nae alikua mkatoliki aliyeendelea ana wake 2.maneno ya J.K.NYERERE hayo sii mimi
   
 20. J

  JokaKuu Platinum Member

  #20
  Jun 21, 2011
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,794
  Likes Received: 5,065
  Trophy Points: 280
  ..kwa tamaduni zetu waafrika ni polygamous.

  ..inaelezwa kwamba kikwazo kikubwa ktk kueneza Ukristo Tanganyika kilikuwa hili suala la wake wengi.
   
Loading...