Jamani tuache upotoshajiiii Mh Rais alichokiamua kipo sawa kabisa hili ni taifa na taifa linaendeshwa kwa utaratibu, Huyu mama sio msemaji wa serikali hivyo hakuwa na malaka yeyote kisheria kutangaza report ambayohata hao wakuu wa serikali walikuwa hawajaiona au kuisoma, Huu ni muendelezo mwingine wa wale wachumia tumb kupotosha na kumdhihaki Rais wetu wakijuwa wanachokifanya ni kulidhoofisha taifa.
Swali zito na gumu kujiuliza nani alie mtuma Dr Malecela?
Na kwanini alisisitizia kwenye report yake either tukubali au tusikubali kuna zika hapo alikuwa ametumwa na nani? au alikuwa akijaribu vyombo vya usalama?
Yapo mengi kizani tutayaona mwisho wa mwaka huu na kuelekea 2017 lakini nina imani Mh Rais atashinda vita hii kwa nguvu za Mungu alie hai. big up tiss
Hujui, alikuwa anasema kama mtafiti na utafiti wake, sio kama mamlaka ya serikali. Hajasema kuwa jeshi hiv na hivi! hajasema mipaka na malawi hiv na hivi, hajasema siasa ya nje hivi na hivi etcJamani tuache upotoshajiiii Mh Rais alichokiamua kipo sawa kabisa hili ni taifa na taifa linaendeshwa kwa utaratibu, Huyu mama sio msemaji wa serikali hivyo hakuwa na malaka yeyote kisheria kutangaza report ambayohata hao wakuu wa serikali walikuwa hawajaiona au kuisoma, Huu ni muendelezo mwingine wa wale wachumia tumb kupotosha na kumdhihaki Rais wetu wakijuwa wanachokifanya ni kulidhoofisha taifa.
Swali zito na gumu kujiuliza nani alie mtuma Dr Malecela?
Na kwanini alisisitizia kwenye report yake either tukubali au tusikubali kuna zika hapo alikuwa ametumwa na nani? au alikuwa akijaribu vyombo vya usalama?
Yapo mengi kizani tutayaona mwisho wa mwaka huu na kuelekea 2017 lakini nina imani Mh Rais atashinda vita hii kwa nguvu za Mungu alie hai. big up tiss
Very true...hiii ishu ina negative impact kubwa sana kwetu...watu tunakimbilia kuleta ushabiki wa kipuuuzi tuJamani tuache upotoshajiiii Mh Rais alichokiamua kipo sawa kabisa hili ni taifa na taifa linaendeshwa kwa utaratibu, Huyu mama sio msemaji wa serikali hivyo hakuwa na malaka yeyote kisheria kutangaza report ambayohata hao wakuu wa serikali walikuwa hawajaiona au kuisoma, Huu ni muendelezo mwingine wa wale wachumia tumb kupotosha na kumdhihaki Rais wetu wakijuwa wanachokifanya ni kulidhoofisha taifa.
Swali zito na gumu kujiuliza nani alie mtuma Dr Malecela?
Na kwanini alisisitizia kwenye report yake either tukubali au tusikubali kuna zika hapo alikuwa ametumwa na nani? au alikuwa akijaribu vyombo vya usalama?
Yapo mengi kizani tutayaona mwisho wa mwaka huu na kuelekea 2017 lakini nina imani Mh Rais atashinda vita hii kwa nguvu za Mungu alie hai. big up tiss
Sawa lakini ugonjwa upoJamani tuache upotoshajiiii Mh Rais alichokiamua kipo sawa kabisa hili ni taifa na taifa linaendeshwa kwa utaratibu, Huyu mama sio msemaji wa serikali hivyo hakuwa na malaka yeyote kisheria kutangaza report ambayohata hao wakuu wa serikali walikuwa hawajaiona au kuisoma, Huu ni muendelezo mwingine wa wale wachumia tumb kupotosha na kumdhihaki Rais wetu wakijuwa wanachokifanya ni kulidhoofisha taifa.
Swali zito na gumu kujiuliza nani alie mtuma Dr Malecela?
Na kwanini alisisitizia kwenye report yake either tukubali au tusikubali kuna zika hapo alikuwa ametumwa na nani? au alikuwa akijaribu vyombo vya usalama?
Yapo mengi kizani tutayaona mwisho wa mwaka huu na kuelekea 2017 lakini nina imani Mh Rais atashinda vita hii kwa nguvu za Mungu alie hai. big up tiss
Atakuja kukanusha tena kwamba hakukanusha kuhusu uwepo wa ZIKA na atakiri kuwa ZIKA ilikuwepo tangu awamu ya 4Kumbe ugonjwa upo na kosa la Dr Mwele ni kutofuata utaratibu kutangaza
Huyu waziri wa Afya aliyekanusha kwamba haupo alikuwa na maana ipi ?