tunashukuru sana Mungu kuona uko salamaLakini, taarifa hizo za ugonjwa wa kisukari zilipingwa na baadhi ya washirika wake wa karibu kisiasa, ambao waliamini Naibu waziri huyo, alilishwa sumu iliyosababisha nywele zake kunyonyoka, ngozi ya mwili wake kupepetuka na kutoa unga, huku akiwa amevimba. Hata hivyio ilielezwa kuwa, madaktari nchini India ndio pekee ambao wangeweza kuangalia namna ya kumsaidia katika ugonjwa huo.