Malafyale ni mmoja ya watu waliompiga sana vita Mwakalinga aka Mtanzania wa JF kabla ya uchaguzi. Pamoja na kuwaeleza maelezo ya uhakika, ila wao bado walilala mstari mmoja kumtetea Mwakyembe. Wengi walimchagua Mwakyembe kwa sababu kadhaa:
1. Kuwakomoa Mafisadi ambao ilisemekana walikuwa wakitaka kumuondoa na kummaliza kisiasa.
2. Kumkomoa Mwakipesile ambaye ilisemekana kuwa alikuwa akimfanyia fitina Mbunge....
3. Kwa sababu wabunge wengi zamani walikuwa kwa miaka 10 , sasa Mwakyembe na kusoma ile ripoti kwa nini wamuondoe?
4. Wengi waliahidiwa vitu kibao na kuna Kibabu kiliweka sahihi hadi makaratasi kuwa kitapata gari ila sasa imekula kwake na kazi wamekifukuza kiaina. Ushahidi wote ulichomwa moto na hakubaki hata na copy............. Mnyakyusa Mjinga kumbe!!!!!
Sasa ona wanavyosema hawa vijana wake wa Tusk Force wa Jamiiforums kwa sasa:
Hebu soma walioshangilia ushindi wa Mwakyembe mwaka jana na leo wanasema nini? Nyambala bado upo? Bado wachekacheka kama mwaka jana? Hahahaaaaa
🙂
https://www.jamiiforums.com/tanzania-2010-2015/68676-kyela-elections-2.html