Hii nchi vigogo wameigeuza shamba la bibi.Waziri wa Uchukuzi Dk. Mwakyembe ameliambia Bunge punde kuwa kulikuwa na dili la kujenga gati mpya bandarini Dar kwa dola milioni 523 lakini yeye alipoingia madarakani ameachana na mpango huo na kuzungumza na kampuni nyingine mahiri ya kigeni kujenga gati hilo hilo kwa dola milioni 160 tu! Je kuna dola milioni 363 zilipangwa kutafunwa na mafisadi? Wale wanaoitwa Takukuru wamesikia hilo???
Waziri wa Uchukuzi Dk. Mwakyembe ameliambia Bunge punde kuwa kulikuwa na dili la kujenga gati mpya bandarini Dar kwa dola milioni 523 lakini yeye alipoingia madarakani ameachana na mpango huo na kuzungumza na kampuni nyingine mahiri ya kigeni kujenga gati hilo hilo kwa dola milioni 160 tu! Je kuna dola milioni 363 zilipangwa kutafunwa na mafisadi? Wale wanaoitwa Takukuru wamesikia hilo???
Issue sio kujenga kwa Bil 160 issue ni Quality,huyo wa Bil 160 anajenga nini na huyo wa 500 anajenga nini,tusikimbilie Cheapest way bila kuelewa tuangalie Ubora,kama anajenga kwa kiwango kilekile ni jambo la kushangaza kidogo kuwa hizo fedha zilikuwa ziende wapi sidhani kama ni rahisi,ila nadhani watakuwa wamebadili namna ya kujenga ili kutengeneza Mazingira.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Waziri wa Uchukuzi Dk. Mwakyembe ameliambia Bunge punde kuwa kulikuwa na dili la kujenga gati mpya bandarini Dar kwa dola milioni 523 lakini yeye alipoingia madarakani ameachana na mpango huo na kuzungumza na kampuni nyingine mahiri ya kigeni kujenga gati hilo hilo kwa dola milioni 160 tu! Je kuna dola milioni 363 zilipangwa kutafunwa na mafisadi? Wale wanaoitwa Takukuru wamesikia hilo???
Waziri wa Uchukuzi Dk. Mwakyembe ameliambia Bunge punde kuwa kulikuwa na dili la kujenga gati mpya bandarini Dar kwa dola milioni 523 lakini yeye alipoingia madarakani ameachana na mpango huo na kuzungumza na kampuni nyingine mahiri ya kigeni kujenga gati hilo hilo kwa dola milioni 160 tu! Je kuna dola milioni 363 zilipangwa kutafunwa na mafisadi? Wale wanaoitwa Takukuru wamesikia hilo???
Waziri wa Uchukuzi Dk. Mwakyembe ameliambia Bunge punde kuwa kulikuwa na dili la kujenga gati mpya bandarini Dar kwa dola milioni 523 lakini yeye alipoingia madarakani ameachana na mpango huo na kuzungumza na kampuni nyingine mahiri ya kigeni kujenga gati hilo hilo kwa dola milioni 160 tu! Je kuna dola milioni 363 zilipangwa kutafunwa na mafisadi? Wale wanaoitwa Takukuru wamesikia hilo???
sio bure utakuta nae kapiga 50 hawa wanasiasa sio wa kuwaamini hata wakikuambia wamekufa
Haya siyo yaleyale alivyokuwa anapigana nayo Mh Nundu alipokuwa bado pale wizarani mpaka yakamuondoa?Waziri wa Uchukuzi Dk. Mwakyembe ameliambia Bunge punde kuwa kulikuwa na dili la kujenga gati mpya bandarini Dar kwa dola milioni 523 lakini yeye alipoingia madarakani ameachana na mpango huo na kuzungumza na kampuni nyingine mahiri ya kigeni kujenga gati hilo hilo kwa dola milioni 160 tu! Je kuna dola milioni 363 zilipangwa kutafunwa na mafisadi? Wale wanaoitwa Takukuru wamesikia hilo???
We nani wee! Mjenzi hufuata mchoro. Mchoro huonyesha specifications zote. Sasa kama kampuni moja inasema inaweza kufikia kiwango hicho kwa gharama ndogo, kwa nini ukimbilie gharama kubwa eti ubora? Ubora gani! Labda kama kuna mtu anafahamu profile ya kampuni hiyo kwamba haifai kufanya kazi hiyo. Kama sivyo.
Mwakyembe bravo! angalau kwa wakati huu maana huko mbeleni huenda tutasikia mengine. CCM hiyo!