Dk. Mwakyembe Aibua Kashfa Mpya ya Mamilioni ya Dola TPA?

K-Boko

JF-Expert Member
Aug 3, 2013
697
218
Waziri wa Uchukuzi Dk. Mwakyembe ameliambia Bunge punde kuwa kulikuwa na dili la kujenga gati mpya bandarini Dar kwa dola milioni 523 lakini yeye alipoingia madarakani ameachana na mpango huo na kuzungumza na kampuni nyingine mahiri ya kigeni kujenga gati hilo hilo kwa dola milioni 160 tu! Je kuna dola milioni 363 zilipangwa kutafunwa na mafisadi? Wale wanaoitwa Takukuru wamesikia hilo???
 
Hii nchi vigogo wameigeuza shamba la bibi.

Mifano michache, mabilioni ya EPA na mabilioni ya Escrow/IPTL.
 
Tunaomba mapato ya bajaj yapunguzwe au
yatolewe kwa watu wanaomiliki bajaj moja au
chini.ya tatu,gharama za uendeshaji ni
kubwa,ukiangalia kila baada ya wiki mbili
tunaenda service na inagharimu si chini ya elfu
30 tunakuomba waziri tuondolee hii kodi
tunateseka sisi watu wa chini
 
Malawi wana kitu inaitwa "cashgate scandal" hii kitu inaondoka na Joyce Banda inaonyesa amewasha cash $360Million.
Sasa kwa Tanzania kazi ni kwetu mabilioni yanaondoka,lakini mwakani mkivaa tisheti za china mtasahau,je nani amewaloga.
 
Waziri wa Uchukuzi Dk. Mwakyembe ameliambia Bunge punde kuwa kulikuwa na dili la kujenga gati mpya bandarini Dar kwa dola milioni 523 lakini yeye alipoingia madarakani ameachana na mpango huo na kuzungumza na kampuni nyingine mahiri ya kigeni kujenga gati hilo hilo kwa dola milioni 160 tu! Je kuna dola milioni 363 zilipangwa kutafunwa na mafisadi? Wale wanaoitwa Takukuru wamesikia hilo???

sio bure utakuta nae kapiga 50 hawa wanasiasa sio wa kuwaamini hata wakikuambia wamekufa
 
Issue sio kujenga kwa Bil 160 issue ni Quality,huyo wa Bil 160 anajenga nini na huyo wa 500 anajenga nini,tusikimbilie Cheapest way bila kuelewa tuangalie Ubora,kama anajenga kwa kiwango kilekile ni jambo la kushangaza kidogo kuwa hizo fedha zilikuwa ziende wapi sidhani kama ni rahisi,ila nadhani watakuwa wamebadili namna ya kujenga ili kutengeneza Mazingira.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
We nani wee! Mjenzi hufuata mchoro. Mchoro huonyesha specifications zote. Sasa kama kampuni moja inasema inaweza kufikia kiwango hicho kwa gharama ndogo, kwa nini ukimbilie gharama kubwa eti ubora? Ubora gani! Labda kama kuna mtu anafahamu profile ya kampuni hiyo kwamba haifai kufanya kazi hiyo. Kama sivyo.

Mwakyembe bravo! angalau kwa wakati huu maana huko mbeleni huenda tutasikia mengine. CCM hiyo!
 
mara nyingi gharama huwa inadetermine ubora wa kitu
sijajua hapa ngoja niwasiliane na mjomba wa TPA
ataniambia kusudio lao
 
Waziri wa Uchukuzi Dk. Mwakyembe ameliambia Bunge punde kuwa kulikuwa na dili la kujenga gati mpya bandarini Dar kwa dola milioni 523 lakini yeye alipoingia madarakani ameachana na mpango huo na kuzungumza na kampuni nyingine mahiri ya kigeni kujenga gati hilo hilo kwa dola milioni 160 tu! Je kuna dola milioni 363 zilipangwa kutafunwa na mafisadi? Wale wanaoitwa Takukuru wamesikia hilo???

Kama ni mzalendo wa kweli angalipaswa kutumia "machinery" zake kuchunguza jambo hilo kwa undani kujua nani anahusika na nini katika deal hilo! Hiyo tofauti ni kubwa sana, haitoshi kuitaja tu Bungeni bila kutaja pia hatua alizochukua kuwashughulikia hao "Panya"! Vinginevyo itakuwa ni "cheap politics" tu na kujifanya mzalendo!!
 
CCM imewachagua Mawaziri wazuri..hawataki rushwa wala hongo. Hongera Mh Mwakyembe....
 
Tutapona kweli?
Waziri wa Uchukuzi Dk. Mwakyembe ameliambia Bunge punde kuwa kulikuwa na dili la kujenga gati mpya bandarini Dar kwa dola milioni 523 lakini yeye alipoingia madarakani ameachana na mpango huo na kuzungumza na kampuni nyingine mahiri ya kigeni kujenga gati hilo hilo kwa dola milioni 160 tu! Je kuna dola milioni 363 zilipangwa kutafunwa na mafisadi? Wale wanaoitwa Takukuru wamesikia hilo???
 
MHH Hii ishu sio ya kuishabikia kijuujuu..kuna mengi hatujaelezwa....siamini hata kama kuna wizi sio kuiba hizo USD 363m kirahisi rahisi kwa ubora uleule...yawezekana michoro imebadilika ama ukubwa/ubora umepungua
 
Waziri wa Uchukuzi Dk. Mwakyembe ameliambia Bunge punde kuwa kulikuwa na dili la kujenga gati mpya bandarini Dar kwa dola milioni 523 lakini yeye alipoingia madarakani ameachana na mpango huo na kuzungumza na kampuni nyingine mahiri ya kigeni kujenga gati hilo hilo kwa dola milioni 160 tu! Je kuna dola milioni 363 zilipangwa kutafunwa na mafisadi? Wale wanaoitwa Takukuru wamesikia hilo???

Ufisadi mtupu! Mbona hajazungumzia alivyotaka kuiingiza bandari mkenge kwa kuikodishia kwa shs billion 10, lile eneo la ccm-sukita Buguruni, eneo ambalo lipo prone for floods, ili Bandari wajenge Inland Container Depot? Asingesitukiwa pesa ingeshaondoka ile. Ccm hakuna aliye msafi hata kidogo!!
 
Waziri wa Uchukuzi Dk. Mwakyembe ameliambia Bunge punde kuwa kulikuwa na dili la kujenga gati mpya bandarini Dar kwa dola milioni 523 lakini yeye alipoingia madarakani ameachana na mpango huo na kuzungumza na kampuni nyingine mahiri ya kigeni kujenga gati hilo hilo kwa dola milioni 160 tu! Je kuna dola milioni 363 zilipangwa kutafunwa na mafisadi? Wale wanaoitwa Takukuru wamesikia hilo???
Haya siyo yaleyale alivyokuwa anapigana nayo Mh Nundu alipokuwa bado pale wizarani mpaka yakamuondoa?
 
We nani wee! Mjenzi hufuata mchoro. Mchoro huonyesha specifications zote. Sasa kama kampuni moja inasema inaweza kufikia kiwango hicho kwa gharama ndogo, kwa nini ukimbilie gharama kubwa eti ubora? Ubora gani! Labda kama kuna mtu anafahamu profile ya kampuni hiyo kwamba haifai kufanya kazi hiyo. Kama sivyo.

Mwakyembe bravo! angalau kwa wakati huu maana huko mbeleni huenda tutasikia mengine. CCM hiyo!

Nchi hii inaliwa sana, watanzania wenyewe waamue hatima ya nchi yao! Nchi inaliwa kama haina mwenyewe vile. Inasitisha sanaaaaaa.
 
Aisee kuna watu wanaishi kama wapo Paradise, ambako hatuko kwenye system imekula kwetu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom