Dk. Mwakyembe Aibua Kashfa Mpya ya Mamilioni ya Dola TPA?

Hii habari iko kishabiki zaidi kuliko uhalisia. Sidhani kama sheria za manunuzi zinaruhusu Mwakyembe kujichagulia kampuni ya kujenga gati na kufanya nayo mazungumzo kama anavyofanya wakati anajenga nyumba yake ya kulala. Clarity is needed
 
mara nyingi gharama huwa inadetermine ubora wa kitu
sijajua hapa ngoja niwasiliane na mjomba wa TPA
ataniambia kusudio lao

Siyo kwa Tanzania. Angalia gharama za ujenzi wa barabara kwa kilomita hapa TZ ulinganishe na ubora, ulinganishe na nchi ya Kenya.
 
Back
Top Bottom