Dk Mo yuko sawasawa kichwani?, Anamchafua mwekezaji Mo.

Dk Mo yuko sawasawa kichwani?, Anamchafua mwekezaji Mo.

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
16,247
Reaction score
16,169
Dk Mo ana uhakika gani kuwa wanasimba wangapi hawamtaki Mangungu?
Mangungu amechaguliwa na Mkutano Mkuu kuwa mwenyekiti, hawezi kuondolewa na Dk mo kihuni kwa makosa ambayo hayana ushahidi. Yaani wajumbe woooote hawana akili kumchagua Mangungu. Kama vile inageuka vita ya kibiashara na GSM.

KInachoonekana sasa ni kama vile Dkt Mo anadhaminiwa na mdhamini wa Simba, mo ili wamuondoe Mangungu.

Mangungu hasajili wala hapangi kikosi wala sio mfadhili, anahusikaje na simba kufungwa na kufunga?

Kama Simba hawatachukua hatua watavuna magugu.
 
Wajumbe wakiwa wengi wanakuwa hawanaga akili ndio mana hersi anawaita wawakilishi tuu wa matawi sio manyumbu yooote ya utopolo kisa wanakadi zao.
 
Mapenzi ya wadau wa mjini (Dar) huwaga samaki na maji...
Uishi ndani yake tu, Nje yake uvuliwe 📌
Kwa msaada wao ule..
Ili uishi , uliwe.
 
Kama wote ni Mo hao ni ndugu watajuana wenyewe
Ukiwasikiliza vizuri kwa earphones utagundua kuwa kuna vita ya kibiashara ambayo wametumwa waipigane. Kama simba wanataka ahueni waachane kabisa na udhamini wa familia ya Dewji sasa kabla mambo hayajakuwa mengi. Kuna siku familia itasema inaidai simba 500b na kuitaifisha. Unakumbuka mo alisemaga kuwa ameinunua Simba?
 
Ukiwaambia waachane no Mo wanakuona huwatakii mema, Simba ilipofikia akiondoka leo Mo kesho inapata mwekezaji mwingine, wanaweza wakapitia kwenye kipindi kigumu kwa muda mfupi ila watakaa sawa na kuachana na masimango ya Mwamedi
 
Utajiri wa dewji huwezi kuutenganisha na Simba SC. Kila mwaka timu lazima iende preseason nje ya nchi kibiashara zaidi, hata ilkibaki siku 3 ligi kuanza.
 
Vijana wanachopigania ni kuondoka kirusi ndani ya simba, uto wanapata sana info za ndani ya mnyama, hivyo nyumba lazima isafishwe.
 
Vijana wanachopigania ni kuondoka kirusi ndani ya simba, uto wanapata sana info za ndani ya mnyama, hivyo nyumba lazima isafishwe.
Hawa vijana pamoja na wanasimba wasichokubali ni ubora wa Yanga na ubovu wa Simba. Mpaka siku watakapokubali ukweli huu wataendelea kuteswa na Yanga.

Wanashindwa kujua kuwa tatizo ni mo sio Mangungu.
 
Harakisheni mabadiliko ya muundo wa club 'transformation' gani inachukua zaidi ya miaka 7, munadumazwa akili kwa kauli mbiu ya Simba guvu moyaaa, (Simba nguvu moja)
 
Harakisheni mabadiliko ya muundo wa club 'transformation' gani inachukua zaidi ya miaka 7, munadumazwa akili kwa kauli mbiu ya Simba guvu moyaaa, (Simba nguvu moja)
Simba imejaa machawa wa mo. Tofauti kubwa ya Yanga na Simba ni kwamba Yanga hawakubali ushindi wa mazabe, wanataka kuona uwezo wa wachezaji na ufundi halisi wa kocha. Simba wanafirahia ushindi wa kukunua. Hata kucheza finali ya CAF confederation mo alinunua mechi.
 
Eti ndiyo ubaya ubwela
 
Eti ndiyo ubaya ubwela
Vijana wanaacha kujadili timu yao wanajadili GSM na bidhaa zake, hii haitokei kwa bahati mbaya tu.

Wanashangilia waamuzi wanapowapa Simba magoli ya hivihivi tu bila kujua wanashangilia kifo cha timu yao
 
Back
Top Bottom