Dk. Malasusa, hali bado tete

Alizini na nani?hebu fanya mambo ya maana yenye tija sio kuchafua watu
 

Ingawa umeandika kiboya mambo ya kueka xxxx ila kuna ukweli flani hivi kwenye bandiko lako
 
Ingawa umeandika kiboya mambo ya kueka xxxx ila kuna ukweli flani hivi kwenye bandiko lako
Malasusa ni binadamu wa kawaida kama binadamu yeyote yule duniani na ni kiongozi kama viongozi wengine wowote waliowahi kutokea duniani.Na kila kitu kina mwanzo na mwisho wake.Viongozi wote duniani wanakoma uongozi kwa njia mbali mbali tofauti.Kuna kukoma kuwa kiongozi kwa njia ya kikatiba, au kwa njia ya mapinduzi,au kwa njia ya kashifa, kwa njia ya maradhi au kwa njia ya kifo.Vivo hivyo hata Malasusa kama kiongozi sawa na viongozi wengine waliowahi kutokea ataacha kuwa kiongozi kwa moja kati ya sababu hizo.Kwa kashifa inayomkabili ina weza kuwa ni kweli alifanya au la.Vitu vyote viwili ni nguvu sawa, ukweli una nguvu na majungu pia yana nguvu.Vyote viwili hivi vinaweza kumng'oa madarakani kiurahisi kabisa.Ikumbukwe kuwa maaskofu walio chini yake wana akili kama yeye na pengine wanamzidi, hivyo wanaweza kuwa na wao wanataka kuwa kwenye nafasi hiyo.Sasa inakuwa rahisi kwao kutumia kashifa hiyo ili kujisogeza kwenye madaraka hayo makubwa.Faida kuu za madaraka yeyote kwa binadamu kwanza kabisa ni PRESTIGE and FAME ( kutukuka na umaarufu ), pili ni masilahi binafsi na tatu ya mwisho ni kazi yenyewe ya kutumikia watu.Kashifa ya uzinzi ni SENSITIVE kuliko kashifa yeyote ile.Unaweza kula mabilioni ya fedha za mtu na mwenyewe akakusamehe kwa amani lakini kamwe mtu hawezi kukusamehe ukizini na mkewe !!!.Kwa hiyo Malasusa ajiandae na lolote lile kung'oka au kubaki madarakani.
 
Credibility ya mtu kama huyo kuwa kiongozi wa ibada/kanisa imepotea.akae pembeni tu,yale yale ya gwajima na flora mbasha,uzinzi mbaya sana
 
Kama KKKT ni wazinzi, wazandiki nk kama ulivyowaita there is two things you can do my friend either go where u think there saints and angels or keep quite. Don't you know church politics and uchu wa madaraka even in the house of the Lord?who are u to judge the man of God and condemn the whole church?
 
Una ushahidi? au unataka kumpakazia huyo mtakatifu wetu mpendwa? kama wewe una beef nae kumbuka sisi waumini wa Kilutheri tunaimani thabiti na Malasusa,mamii jichunge usije pata LAANA kutoka kwa Bwana wa milele.
 


Thanks kwa maelezo marefu. Ila hayatakuwa na tija iwapo hautatueleza kwa udhibitisho kuwa hili suala la Uzinzi sio kweli na mengine yanayoambatana na habari hiyo. Hii ndio hoja ya msingi na sio porojo. Kumbuka huyu ni kiongozi wa dini kutokuwa wazi kunapelekea kuvunja moyo waumini.
 
Kama ungekuwa umefuatilia tangu likipoanza ungegundua kuwa mwenye mke ndio aliyegundua mahusiano na sio sisi.
Sheria inampa Uhuru wa kwenda Mahakamani. Mbona haendi anahangaika na hiki kijarida uchwara? Haoni Mwingira hadi sasa kesi inaunguruma? Aende mahakamani aache fitna kupitia Kwa Joseph at Isango
 
Unajua wengi wa watanzania hawana akili. Sasa Wewe unataka ushahidi unaomtetea mtuhumiwa wakati ushahidi wa anayemtuhumu mtuhumiwa huna? So ujinga huo? Huyo anayedai kaibiwa mke amekupa ushahidi gani? Hilo gazeti ni lini lilimpa haki yake Malasusa ya kuhojiwa? Kwa nini gazeti linatumia maelezo ya upande mmoja? Tunajuaje kama ushahidi(kama upo) wa uzinzi wa Malasusa sio fabricated? Kwani kuna shida gani Huyo Mwenye Mume asiende mahakamani?????
 
Uzinzi wa MTU hauthibitishwi kwa Porojo za Mtandaoni...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…