Dk. Malasusa, hali bado tete

Hii dayosisi ina radhi ya Muumba, wajitathmini na kuomba sana Mungu awarehemu. Lakini sharti la maombi ni kuusimamia ukweli kwa gharama yeyote. Nakumbuka Jery Ngwandu aliondoka kwa kashfa na huyu tena ameangukiwa na kashfa inayokaribia kumuondoa.
Ni Jerry Mungwamba (PhD). Mizengwe ni mingi sana Dayosisi ya Mashariki na Pwani
 
Tatizo la MwanaHalisi ni kutoka kwenye professionalism na kuja kujiingiza katika UKAHABA WA HABARI.Na hii ni hatari sana. Josrphat Isango ndie anayeratibu ujinga huu Kwa ujira Mdogo sana.
 
Nenda zako shetani
 
Kumbe Dr Malasusa ni wa Mbeya?
Ni hivyo Mkuu. Namfahamu Malasusa tangu nikiwa Lutheran Junior Seminary Kule Sanze kisarawe. Alikuwa Mchungaji (Chaplain) Mwalimu wangu wa Divinity na Mwalimu Mkuu Msaidizi chini ya Mama Bulugu. Nikaja kumfahamu zaidi alipokuwa Usharika wa Mtoni. Malasusa kamwe, narudia tena KAMWE Mchungaji na Askofu yule sio wa kukutwa na kashfa petty kama hii.
Malasusa kwenye ishu hizi hayupo kabisa. Kama alikuwa Nazi, aliziacha kitambo sana
 
Tusihukumu tusije tukahukumiwa?je sisi tunaonyoosha vidole vyetu ni wasafi kiasi gani? ? ?
 

Mkuu,

Mambo ya uzinzi hayana uhusiano wa kumfahamu mtu. Hufanyika kwa siri sana.... Laiti kuta zingekuwa zinasema ungestaajabu ya Musa kabla ya firauni.

Ni Mungu pekee ajuaye usafi wa mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…