Dk. Magufuli msituadhibu

Dk. Magufuli msituadhibu

Kitendo cha Jaji Mheshimika ambaye alipigwa na magamba kwa ajili ya katiba mpya na kitendo cha kupigia debe wachakachuaji wa katiba kurejea madarakani kweli nimeamini kuwa Mkuu wa wilaya alikuwa sahihi kuongoza vijana kumpiga na kuanzisha fujo.Sasa tunakuomba warioba utwambie vizuri kuhusu meremeta ambayo na wewe ulihusishwa,vilevile utwambie vizuri kuhusu hisa unazomiliki ndani ya airtel!!!!.
Ni aibu kwa mheshimiwa kiongozi wetu wewe na polepole kuwageuka ukawa ati kisa magufuli.Je magufuli amekuahidi kurudisha vipengele vya katiba vilivyonyofolewa!!! Mfano kuhusu watu kutorosha pesa na kuweka mabenki ya nje!!

Mzee alianza kunichefua siku ile blue peal hotel. Na tangu siku ile nachelea kusema kwa ukasuku huu kumbe alistahili kurabwa makofi na bwana mdogo yula ambae alizawadia ukuu wa wilaya kwa kitendo kizuri cha kumzaba makonde mzee yule sijui anakula maharage ya wapi mzee yule? Aache kutumika... ana tuchanganya!
 
Huyo mapadlock, ni kweli nyumba kama imevamiwa na mchwa miti meoza (misingi imemomonyoka), majani yanapukutika dawa ni kupiga kiberiti lakini kama nawe uko ndani utabaki salama?

Kama utashinda; Wamekubeba na umekubali kushikiria, Wanao biashara zao utazifunga, uwaziri huwapi watoto wa vigogo wanao kupigania? Au ni lugha ya kumtoa nyoka pangoni? Na matamshi yako ni sawa na kijana anaye jitahidi kumwaga swaga atongozapo, bahati mbaya watanzania hawajielewi unazakubahatisha kwa magoli ya tume. Ila Mwenyezi akitujalia uhai, Mola akawa pia amekujalia kumpata huyo mwali, nitakukumbusha tambo zako majukwaani kwamba mbona unakula matapu tapu?

Kwa sababu sipati picha ya uthubutu wa utekelezaji wa hayo unayo waaminisha Watanzania kwenye majukwaa! kina wenye ati...
 
Unapoichagua serikali kwenye ballot box unampigia Waziri Mkuu au Rais? Na nani anaemchagua mwenzake kati ya rais na waziri mkuu? Unamjua katibu mkuu wa baraza la mawaziri? Je Waziri Mkuu anaweza kubadilisha maamuzi ya baraza la mawaziri? Ni halali pia kusema kuwa wizi wa ESCROW ulifanywa na Pinda kwa sababu alikuwa Waziri Mkuu? Mbona Pinda hamumsakami au kwa sababu yuko CCM? Mtawadanganya wajinga tu

Mkuu Pinda hatumsakami kwa kuwa siyo mgombea, Lowasa yeye ni mgombea. Pia taarifa zinasema Baraza la mawaziri lilitoa maamuzi mchakato wa zabuni uendelee ila uzingatie sheria, halafu mheshimiwa hakuzingatia sheria, sawa na mwanao kumtuma akakununulie gazeti halafu yeye akaamua kununua pipi, hapo kosa ni la mzazi au la mtoto?
 
Kitendo cha Jaji Mheshimika ambaye alipigwa na magamba kwa ajili ya katiba mpya na kitendo cha kupigia debe wachakachuaji wa katiba kurejea madarakani kweli nimeamini kuwa Mkuu wa wilaya alikuwa sahihi kuongoza vijana kumpiga na kuanzisha fujo.Sasa tunakuomba warioba utwambie vizuri kuhusu meremeta ambayo na wewe ulihusishwa,vilevile utwambie vizuri kuhusu hisa unazomiliki ndani ya airtel!!!!.
Ni aibu kwa mheshimiwa kiongozi wetu wewe na polepole kuwageuka ukawa ati kisa magufuli.Je magufuli amekuahidi kurudisha vipengele vya katiba vilivyonyofolewa!!! Mfano kuhusu watu kutorosha pesa na kuweka mabenki ya nje!!

Mkuu Warioba kama walivyo mchwa wengine ndani ya ccm hakuna jipya analoweza kusema. Kumbuka walitishia kumpeleka mahakaman na tangu hapo ameamua kuufyata mkia mazima.
 
Mkuu Pinda hatumsakami kwa kuwa siyo mgombea, Lowasa yeye ni mgombea. Pia taarifa zinasema Baraza la mawaziri lilitoa maamuzi mchakato wa zabuni uendelee ila uzingatie sheria, halafu mheshimiwa hakuzingatia sheria, sawa na mwanao kumtuma akakununulie gazeti halafu yeye akaamua kununua pipi, hapo kosa ni la mzazi au la mtoto?

Kwanza suala hapa ni uadilifu, na kama kigezo mnachokitumia cha kuwa Waziri Mkuu basi kitumike kwa wote.
Pili unadai habari zinasema zipi? Kwa kauli ya Lowassa amesema baada ya magazeti kuandika kuhusu Richmond kuwa kampuni hewa aliitisha kikao cha makatibu wakuu wa wizara husika na kutaka kuuvunja mkataba huu, katibu mkuu kiongozi ambaye ni mteule wa Rais alitoka nje na baada ya muda akarudi na kusema mamlaka ya juu ilitoa maagizo kuwa mkataba wa Richmond usainiwe kama kawaida.

Kama ilichukua siku moja kwa kurugenzi ya habari ya ikulu kujibu madai ya Mengi alipodai Zitto na ikulu watamshughulikia kwa nini hili limewatia kigugumizi? Nilikuuliza nani ni Mwenyekiti wa baraza la mawaziri?

Sawa tutoke huko baada ya Lowassa kujiuzulu Richmond ilikuwa haijalipwa hata senti moja, so ni nani mwenye madaraka ambaye ali engineer kuhamisha umiliki kutoka Richmond kwenda Dowans? Na ni nani aliyehakikisha Dowans ianzekulipwa mabilioni? Maana Lowassa alikuwa nje ya serikali.

Ni nani aliyehakikisha kuwa serikali inashindwa kesi katika mahakama ya usuluhishi wa kibiashara ili Dowans kwa mkataba feki ilipwe mabilioni na serikali yetu hela za walipa kodi?

Nani aliyekataa ushauri wa Zitto kabwe wa kutaifisha mitambo ya kampuni feki ya Richmond /Dowans?

Nani aliyehakikisha Rais Obama wakati anaitembelea Tanzania anaitembelea mitambo ya Dowans? Unaweza ukajua mujibu sahihi ila kuipenda CCM ni kama vile uchawi, mchawi ukimwambia kula nyama za watu dhambi hawezi acha badala yake atakuroga akuangamize licha ya kujua ni dhambi.

Nadhani kuna uhusiano kati ya shetani na CCM,
 
Duh Lowassa kawalambisha unga wa mahaba ya kisiasa CCM sera ni lowassa poleni maghufuli umeangukia pua
 
Awe mwizi asiwe mwizi tutamchagua 2. Wamebaki 10 ccm bora 1
 
Mzee alianza kunichefua siku ile blue peal hotel. Na tangu siku ile nachelea kusema kwa ukasuku huu kumbe alistahili kurabwa makofi na bwana mdogo yula ambae alizawadia ukuu wa wilaya kwa kitendo kizuri cha kumzaba makonde mzee yule sijui anakula maharage ya wapi mzee yule? Aache kutumika... ana tuchanganya!
​Umenikumbusha Gwajima "sijui kala maharage ya wapi yulee!!"
 
Back
Top Bottom