esitena tetena
JF-Expert Member
- Aug 21, 2015
- 1,747
- 1,082
Hapa kazi tu!
KAZI IPI?
"ccm tumejaribu kuleta maendeleo lakini lazima nikiri kwamba ndani ya ccm kuna kasoro.tuna mijitu hovyo,tuna wezi,tuna mjambazi humo na kuna watu wanafiki ndani ya ccm. ccm kuna majungu na ulaji" - ABDULRAHMAN KINANA katika kampeni za ccm -moshi 5th sept 2015.