mi nadhani tuache demokrasia ifanye kazi yake mkuu...walichokitaka wanaweza kukipata huko ACT au hata CCM kama wanajiamini kiasi hicho....lakini hilo walilolotaka kufanya kisiri siri halikubaliki popote pale..all the best to them
Hakuna mwana siasa mkweli duniani wote wako after masilahi yao taratiiibu naacha ushabiki wa vyama.
Dk kitila mkumbo amejitambulisha rasmi kuwa ni mwanachama wa act kupitia clouds fm leo asubuhi amesema atamshauri zito aje kugombea uwenyekiti.
Demikrasia ya mtu mmoja kutakiwa kuwa Mwenyekiti.....hata kama ni kwa gharama ya kuharibu chama na hatimae kuanzisha chama kipya.Haya...subirini ile demokrasia iliyokuwa ikihubiriwa.......demokrasia isiyo na mipaka wala ethics......Hapa hapa JF tutajua yote.....Nadhani ya chama mbadala yametimia........yetu macho...:israel:
Huyu anatafuta gia ya kuinadi ACT. Sijui kwanini wanajiita Alliance for Change and Transparency wakati wenyewe wanajifichaficha. Dr. Kitila, mh. Zitto siyo dini inayohitaji kuabudiwa, Tanzania tunahitaji kiongozi muadilifu na wenye matendo yaliyonyooka ili watanzania tumwamini na kumpa dhamana.
Pandikizi zumeishaingia huko watajuta na wao jinsi watakavyosaritiwa nao wasikie machungu.
WORD.Mkuu ukiangalia kwa jicho la 3 utaona kbs kuwa hiki chama kipya ni figa jingine la ccm,kumbuka sufuria ya pilau la harusi hulazimishiwa hata mafiga matano ili pilau liive vizuri na hiki ndicho kinachotokea
Nampa hongera sana Mwigulu kwa ushauri wake kwa CC ya ccm kuhusu mbinu za kuibomoa cdm japo cdm nao wamekuja na huu muungano wa UKAWA ambao umewachanganya sana ccm na jana cc ya ccm imeitana kwa ghafla ili kutoa maelekezo kwa wabunge wake wa bunge la bajeti 2014/2015(wa ccm)
Pamoja na hayo yote ACT ya zitto,kitlya,mwigamba,bila pesa za ccm haitaenda popote,pesa ya zitto pekee haiwezi ingiza wabunge hata 5 mjengoni 2015 ila kwa vile imekuja kuugawa upinzani ccm itawekeza pesa nyingi sana ndani ya ACT.....kila la kheri wajanja wa siasa za bongo
Dk kitila mkumbo amejitambulisha rasmi kuwa ni mwanachama wa act kupitia clouds fm leo asubuhi amesema atamshauri zito aje kugombea uwenyekiti.
Lakini Zitto kwa maneno yake alisema atakuwa wa mwisho kuondoka CHADEMA.
Yaani Uenyekiti unatangulia kabla ya ajenda?