Ukiambiwa una ubongo wa kuku tunamaanishazito mmemshindwa chadema mnabaki kulialia tu mitandaoni.. michadema yooote mtu.mmoja tu amewashinda. halafu mnataka kuongoza nchi.. labda nchi ya kiborloni
Nawaza kuwa mwana chama wa ACT mapema
Si ajabu ataanza kupambana na CDM badala ya kutafuta mageuzi ya kweli,time will tell.
Unamaanisha Chadema kumfukuza Zitto ilikuwa inajidhoofisha?
karibu sana mzalendo
Kwa lugha nyingine unaweza ukasema hivyo isipokuwa udhoofu huo haujatokana na dhamira ya CDM bali umetokana na mbinu iliyotumiwa na CCM ambayo kwa kiasi imefanikiwa kudhoofisha upinzani...
Ukiweza kuwagawanya, basi utaweza pia kuwatawala
Ukiambiwa una ubongo wa kuku tunamaanisha
Bwanako Zitto anapigania uanachama wake mahakamani. Chadema tulishamaliza...nyie visaka tonge ndo hamtusumbui kabisaaaaaa
ACT ikipata hata diwani mmoja, nitatembea uchi kutoka Dar hadi Kigoma. Tusiwafanye watanzania mazuzuYap hiyo ni CCM "C". Kwa heri Zitto, kwa heri Mkumbo, kaendeleze usaliti wenu kupitia hiyo CCM "C".
Tiba
Hujamuuliza anatokea Mwanga, Ujiji, Kidahwe, Mwandiga au Kibirizi?
Hivi sasa Kitila amekuwa galasa lisilomithilika. Ameshajifia kisiasa...
Mwambie mumeo Zitto akupeleke shule japo kidogo upate uelewa wa nini kilifanyika mahakamani na nini ambacho Zitto anaking'amg'snia. Usikalie kupata posho tu ya kuandika makamasi mtandaonimahakamani tundu lisu alishamwagwa na albert msando... muda unaenda tu we endelea kujidanganya na mahakama wakati kesi imeshaisha.. kweli chadema imepata misukule ya kuidamganya kama wewe
ACT ikipata hata diwani mmoja, nitatembea uchi kutoka Dar hadi Kigoma. Tusiwafanye watanzania mazuzu
Kwani Kitila alikuwa mwanasiasa?
Mwambie mumeo Zitto akupeleke shule japo kidogo upate uelewa wa nini kilifanyika mahakamani na nini ambacho Zitto anaking'amg'snia. Usikalie kupata posho tu ya kuandika makamasi mtandaoni
hahaha.. we jidanganye tu hapo unga limited arusha.. unafikir watanzania wote ni mazuzu kama moshi na arusha?
kesi imeshaisha siku.nyingi sana..we endelea kusubiri utasubiri milele
Alikuwa na bado ni Mnafiki, mzandiki, mfitini, mwongo, mbea, msakatonge
hatuulizani hivyo ACT hayo mambo ya kuulizana dini na kanda yako chadema tu
Mfadhili wenu Lowassa alichemla kwa Lema. Kule Arusha hakuna vichwa maboga km Kigoma.