Dk. Kitila Mkumbo ajitambulisha rasmi ACT

Si ajabu ataanza kupambana na CDM badala ya kutafuta mageuzi ya kweli,time will tell.
 
Yap hiyo ni CCM "C". Kwa heri Zitto, kwa heri Mkumbo, kaendeleze usaliti wenu kupitia hiyo CCM "C".

Tiba
 

Sasa kama chadema ndo iliwafanya waonekane wa maana alaf ikawafukuza we unataka wafanyeje??? Mbona iwewauma sana.
 
Yap hiyo ni CCM "C". Kwa heri Zitto, kwa heri Mkumbo, kaendeleze usaliti wenu kupitia hiyo CCM "C".

Tiba

Weka akiba ya maneno mheshimiwa. Mliwaponda sana CUF kwamba ni CCM 'B' na mkamwita James Mbatia ni shoga. Lakini leo hawa ndio wanaowafichia aibu. Hii nchi ni huru. Acheni watu wafanye siasa, na nyie fanyeni siasa zenu. Hasira za nini wakati watu mliwafukuza wenyewe kama wezi?
 
Sasa kama chadema ndo iliwafanya waonekane wa maana alaf ikawafukuza we unataka wafanyeje??? Mbona iwewauma sana.
Hivi wewe unapokunya mavi ambayo ni chakula ulikula mwenyewe itakuuma sana?
 
Wakiichoka chadema ndio waje ACT? watanzania sio wajinga hivyo...

Jamani hivi siasa za Tanganyika mmeanza kuzifuatilia 2010?kwa historia tu,Watanganyika waliacha kuipenda DP wakahamia NCCR, wakaiacha NCCR wakahamia TLP, wakaiacha TLP wakahamia CUF, na wakaiacha CUF wakahami Chadema, sasa sijui baada ya kuichoka Chadema (na dalili zote zinaonyesha kuwa sasa inachokwa)sijui watahamia wapi.
 

Shirikisha brain dogo. Sio unapost tu kama uko maliwatoni
 

hongela Dr kitila kwa kutoka kwenyemakucha ya mbwamwitu Cdm. Wenye akili timamu hawaburuzwi na vichwa panzi.
 
Saccos ya Mtei na Saccos ya Zitto tofauti iko wapi?

zito mmemshindwa chadema mnabaki kulialia tu mitandaoni.. michadema yooote mtu.mmoja tu amewashinda. halafu mnataka kuongoza nchi.. labda nchi ya kiborloni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…