The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,397
- 9,263
Post deleted by author!
Hahahaha! Raha sana si mliwafukuza mbona mnahangakika, leo umekuwa mtoa ushauri wa ACT.Pandikizi zumeishaingia huko watajuta na wao jinsi watakavyosaritiwa nao wasikie machungu.
Msaliti husalitiwa watajuta.Huu si ni ule umoja wa wasaliti? Ndiyo wanataka kumsimsmisha Hamad Rashid kama mgombea urais?
Cdm imejiua yenyewe kwa mikono yakeKwa hiyo walitaka waiuwe CDM kwanza ndiyo wasepe.
Shame
Dk kitila mkumbo amejitambulisha rasmi kuwa ni mwanachama wa act kupitia clouds fm leo asubuhi amesema atamshauri zito aje kugombea uwenyekiti.
Mpaka hapo nani anakataa kuwa hawa jamaa walikuwa na njama za kuteka uongozi wa juu wa cdm kwa kazi maalumu?
Mungu anaweza kumficha mnafiki kwa mda fulani na kwa reason fulani ila siko moja akamwanika hadharani.........Let just wish em mafanikio mema in ACT
waasisi wa ACT ni watatu tu - Zitto, Mkumbo na Mwigamba!!Dk kitila mkumbo amejitambulisha rasmi kuwa ni mwanachama wa act kupitia clouds fm leo asubuhi amesema atamshauri zito aje kugombea uwenyekiti.