Dk. Joyce Ndalichako atosha wizara ya elimu

Dk. Joyce Ndalichako atosha wizara ya elimu

Puna

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2013
Posts
2,770
Reaction score
4,857
Ushauri kwa mh Rais Dk JPM. Huyu mama anafaa kabisa nafasi hiyo uliyoiacha kiporo na kutafuta mtu wa uhakika.

Huyu mama ni mama wa shoka kwa kasi yako hiyo ya hapa kazi tu yeye ndiye mtu sahihi kabisa. Naomba uliangalie hili kabla ya kuanua matanga ya mazishi ya elimu.

Nawasilisha kwako Mhe JPM.
 
Hili halina ubishi, alitengenezewa zengwe na Boko Haram kwa sababu za kipuuzi. Mwl. JPM rudisha hii mashine barazani iboreshe elimu.
 
Ushauri kwa mh Rais Dk Jpm huyu mama anafaha kabisa nafasi hiyo uliyoiacha kiporo na kutafuta mtu wa uhakika.Huyu mama ni mama wa shoka kwa kasi yako hiyo ya hapa kazi tu yeye ndiye mtu sahihi kabis.Naomba uliangalie ili kabla ya kuanua matanga ya mazishi ya elimu.Nawasilisha kwako mh Jpm.
Kula like nyiingiii, namkubali sanaa. Sijui atakuwa na kadi hata ya uongo na kweli ya kile chama? ? Wana JF badala ya kubishana kuhusu teuzi ziluzobaki hebu leteni mapendekezo yenu kama hili la Dr Ndalichako na Wizara zingine zilizowazi, kwa jinsi hiyo tutakuwa tumeshiriki kutoa Mawazo yetu ili kama hayajasikilizwa baadae tukomae nao.
 
Naunga mkono hoja..

Serikali ya Mkwerre iliongozwa na majungu ndio maana jembe kama huyu kawekwa pembeni...

Ni wakati wa kuyakusanya "majiwe" yote yaliyokataliwa na waashi..........
 
Dr Ndalichako pekee ndio anaweza kuipigania elimu yetu kwa sasa. I miss this Madam
 
Ushauri kwa mh Rais Dk JPM. Huyu mama anafaa kabisa nafasi hiyo uliyoiacha kiporo na kutafuta mtu wa uhakika.

Huyu mama ni mama wa shoka kwa kasi yako hiyo ya hapa kazi tu yeye ndiye mtu sahihi kabisa. Naomba uliangalie hili kabla ya kuanua matanga ya mazishi ya elimu.

Nawasilisha kwako Mhe JPM.
Ushauri wako ni mzuri sana ila nataka kuisimamia elimu pekee yangu kwa muda ili kurejesha elimu bora!!!see you tomorrow
By mlinzi wa zamu
 
Hafai kashindwa kuliongoza baraza la mitihani ataweza Wizara au amewatuma mmpigie debe?
 
naunga mkonyo hojaaaaa aaagrrriiii ulimi hauna mdomooo tehteh
 
Mind you, ile Wizara hataki siasa, Bali utendaji, tatizo ni kuwa tumeweka siasa mbele
 
Huyu mama au dada ni kati ya hazina za taifa adimu! Ambapo tawala legelege haziwezi ona
 
Back
Top Bottom