Dk JAKAYA KIKWETE kalisaidia nini taifa?

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
Tangu achukue nchi kwa mbwembwe na kura nyingi mwaka 2005 ..JK amelisaidia nini taifa letu hili lenye rasilimali nyingi ..na akiondoka tukamkumbuka kwa kitu gani kizuri?..achana na safari zake nyingi za nje ambazo mpaka sasa hivi hazina tija kwa taifa ..labda kwa watu wachache...bado safari ni ndefu sana hadi 2015..ni wangapi wanauhakika kuwa taifa litafika 2015 likiwa an hali nzuri?
 
Ahaaa..nilikuwa namfagiria sana lakini kwa sasa nipo radhi kumpinga haiwezekani watu mnasoma halafu hakuna opportnty ,et kuwa jiajiri how .je yeye aliweza kujiajiri pale alipo graduate? Shame on u! Watu tunadharaulika bila sababu hivi mnadhani degree ni ****** eheee,kwamba kila m2 anahaki ya kuwa nayo? F_c_i_g jk
 
Ki ukweli hata aendani na hiyo title ya kuitwa dr.. Mi nakereka vile wanavyoita eti dr.....damn
 
Lol!! amefanya makubwa kweli jamaa kazalisha mafisadi, maisha yamekuwa magumu kupita kiasi, watu hawana ajira, muuza sura nje....... acha bwana jamaa amefanya mambo mengi kwa hii nchi anastahilo kukumbukwa mno.
 
Amefuturisha ikulu mara kibao, amebembea jamaika, amejirusha casino australia,kwenye nyago ndo ucsema na navyomuona atakuwa amebandika ukutani picha alizopiga na ma superstar kwenye geto lake ikulu mpaka basi.
 
Ametusaidia kutuongezea umasikini ulio kithiri,mfumuko wa bei,yaani maisha ni magumu balaa.
 
Kikwete katuletea misaada yenye masharti
ya kuwa mashoga.
Kweli amelaaniwa mtu yule amtegemeaye
mwanadamu.
Tanzania inaangamia kwa kukosa raisi
mwenye maarifa
 
Back
Top Bottom