Huyu mama angeweza kumzaa Cheni kama angekuwa anatoka kwa wenzetu Wazigua,Wazaramo,Wakwere na Wamakonde.Cheni kachungulia dili kwa vyovyote hili jimama litakuwa na mshiko mjini shule anyway hongera Cheni maisha magumu bwana ukifumania jimama lenye mihela hakuna haja ya kuangalia umri,sura,dini wala kabila unachota shala shala.
Kaama nakuona unavyosukuma mzigo saba kwa nane mtu mzima miguu 11 watuuuuuu weeeeeeeeeeeeweeeeeeeeeeeeeeeeeehhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
komaa nae mwana huyo ndio chaguo lam mungu ndio maana unapendeza sura mwana