Dk. Cheni na my wife wake

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
3.jpg
 
Wala si jimama ki hivyo. Ni tabia ya kula kula hovyo tu ndo inawaponza watoto wa siku hizi
 
Huyo ni binti bwana sema miili yetu mingine ni tatizo

Heshima kwako FL,

Nadhani unataka kuchangamsha jamvi.

Huyu mama angeweza kumzaa Cheni kama angekuwa anatoka kwa wenzetu Wazigua,Wazaramo,Wakwere na Wamakonde.Cheni kachungulia dili kwa vyovyote hili jimama litakuwa na mshiko mjini shule anyway hongera Cheni maisha magumu bwana ukifumania jimama lenye mihela hakuna haja ya kuangalia umri,sura,dini wala kabila unachota shala shala.
 
aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah jamani. Tatizo sio mlo wala mwili, angalieni isije ikawa amekula chakula toka CHINA
 
hongera Doc Cheni!! kawaida wanawake wanene hawana mvuto kwangu.. ila mtunze akutunze chaguo lako hilo usisikile watakayo sema
 
Kaama nakuona unavyosukuma mzigo saba kwa nane mtu mzima miguu 11 watuuuuuu weeeeeeeeeeeeweeeeeeeeeeeeeeeeeehhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
komaa nae mwana huyo ndio chaguo lam mungu ndio maana unapendeza sura mwana
 
awe anamsindikiza anapokwenda kufanya shooting. Shooting nyingine mhhh, lazima kuzimonitor!:eyeroll2:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom