Jagarld
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 2,689
- 3,448
mkuu jaribu kuweka kumbu kumbu sawa,kwanza hakuna uchaguzi wa mbunge ulifanyika 2003 Busega,pili mama yule alikuwa na nguvu 2000 kipindi cha Nyanda na badae akaenguliwa na mwenyekiti wake (CHEYO)2001 ili ashindane na Chegeni na hapo ccm ndio waliposota kweli kuhakikisha wanamshinda Cheyo,2005 upinzani haukuwa na nguvu tena Busega,labda kama kweli unamaanisha alimuibia KULA na siyo KURA!Mkuu na wewe ni wa kulekule Busega huyu jamaa kagawa Busega.....si unakumbuka kamani alivyomburuza 2010 na jinsia alivyomuibia yule Mama kula 2005 na kile kipind baada ya kufarik Mzee Nyanda Magamba walivyo2mia gharama kushnda ule uchaguzi wa 2003 ..