East African Eagle
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 3,759
- 2,209
Ila huyu si ni mchagga ? .......
Katika watanzania waliofanya vizuri ni DK Charles Kimei.Kwa uwezo wake mkubwa wa kuibadilisha benki ya CRDB iliyokuwa chumba cha maiti na kuifanya iwe benki bora yenye matawi ndani na nje ya nchi.
Ni CEO ambaye kaonyesha kuwa haogopi ushindani na aweza shindana kibiashara ya kibenki na benki yoyote iwe ya ndani au nje ndani na nje ya nchi.
Ameijengea hadhi CRDB na kuifanya benki bora mbele za wananchi wengi ambao zamani ukitaja CRDB watu wangeuliza ndio mdudu gani huyo
kama kampuni ilikwa halali serikalini mpaka kuchota pesa (pamoja na usalama wa taifa kuwepo) ingekuwa vipi kwa benki ya biashara kujua uhalali wa kampuni? walichokuwa wanafanya ni ku-mobilize deposits. kumbuka kampuni zote zilizochota pesa zilifanya kazi na serikali. ukiwa meneja, kampuni inakuja kufungua account na una taarifa kuna pesa kutoka benki kuu tena pasi na shaka utakataa deposits? kama hiyo kasahifa isingeibuka, kampuni zile zingekuwa halali mpaka leo hii. na ndio maana baada ya kashifa accounts zote zilifungwa!Pesa za EPA nyingi zilipitia Bank hii, kwa kuwa ni kawaida kwa Tanzania kusifia wakwapuaji na kuwaita Free Masons, basi naye apewe tuzo!
Ila huyu si ni mchagga ? .......
Mm simuungi mkono Kimei japo n mteja wa CRDB.HAIWAJALI WATU WA CHINI,WANA RIBA KUBWA TOFAUTI NA NMB,AJIRA ZA KIKABIRA KWA KIAS KIKUBWA, WANAPENDA KUJISIFIA KWA SHEREHE NA MAKMGAMANO.WANA MATUMIZI MAKUBWA NDO MANA HATA RIBA IPO JUU.INATUMIKA KIFISADI SANA CRDB.HASITAHIRI .Katika watanzania waliofanya vizuri ni DK Charles Kimei.Kwa uwezo wake mkubwa wa kuibadilisha benki ya CRDB iliyokuwa chumba cha maiti na kuifanya iwe benki bora yenye matawi ndani na nje ya nchi.
Ni CEO ambaye kaonyesha kuwa haogopi ushindani na aweza shindana kibiashara ya kibenki na benki yoyote iwe ya ndani au nje ndani na nje ya nchi.
Ameijengea hadhi CRDB na kuifanya benki bora mbele za wananchi wengi ambao zamani ukitaja CRDB watu wangeuliza ndio mdudu gani huyo
Pesa za EPA nyingi zilipitia Bank hii, kwa kuwa ni kawaida kwa Tanzania kusifia wakwapuaji na kuwaita Free Masons, basi naye apewe tuzo!
lipi la ajabu alilofanya au kuita waandishi wa habari kila wakati.ni wa kawaida tu.ila huyu si ni mchagga ? .......
Mm simuungi mkono Kimei japo n mteja wa CRDB.HAIWAJALI WATU WA CHINI,WANA RIBA KUBWA TOFAUTI NA NMB,AJIRA ZA KIKABIRA KWA KIAS KIKUBWA, WANAPENDA KUJISIFIA KWA SHEREHE NA MAKMGAMANO.WANA MATUMIZI MAKUBWA NDO MANA HATA RIBA IPO JUU.INATUMIKA KIFISADI SANA CRDB.HASITAHIRI .
kama kampuni ilikwa halali serikalini mpaka kuchota pesa (pamoja na usalama wa taifa kuwepo) ingekuwa vipi kwa benki ya biashara kujua uhalali wa kampuni? walichokuwa wanafanya ni ku-mobilize deposits. kumbuka kampuni zote zilizochota pesa zilifanya kazi na serikali. ukiwa meneja, kampuni inakuja kufungua account na una taarifa kuna pesa kutoka benki kuu tena pasi na shaka utakataa deposits? kama hiyo kasahifa isingeibuka, kampuni zile zingekuwa halali mpaka leo hii. na ndio maana baada ya kashifa accounts zote zilifungwa!
Hii tuzo ni sawa kabisa kwa mtu sahihi,siyo zile anazopewa Mengi wakati hana biashara inayoeleweka.Dr.Kimei kathibitisha kuwa watanzania weusi tunaweza
mbona umeishia ukabila tu? ungemalizia na masuala ya udeen kabisa