hizo ni njama za wafanya biashara wa tz, hasa wahindi maana leo wamekabwa koo na wachina ambao bei za bidhaa zao ni rahisi, lakini utashangaa sana hata kule China kuna watanzaina wengi tu ambao wanaishi huko wengine hata shughuli zao hazieleweki, wapo hadi madalali pia kuna watanzania ambao kazi zao ni kutafuta wageni kutoka africa ili wawa tembeze na kuwapeleka sehemu mbali mbali, shughuli zote hizi sio rasmi ukweli zilitakiwa zifanywe na wachina , sasa leo ukisema wachina watoke TZ inamaana hata wa tz waondoke china , japan dubai etc, nafikiri kwa hili waziri amekurupuka, pia akumbuke yeye pia hapa dar sio kwao je arudi moshi, kuna wachaga kila kona ya TZ ambao wanajitafutia riziki, pia warudi moshi, gazeti la leo linasema yeye ni mmoja kati ya wakata magogo kule SAO forest, je huko ni kwao?, waziri fikiri kabla huja ropoka :teeth: