kwa ccm hili linawezekana kabisa why not?
Hiyo point ya tatu: kwamba anakubalika kama presidential material ni very questionable. Anakubalika kwa nani? Nani kafanya utafiti na kuthibitisha kuwa hata kule Ng'wanakitolyo Bilal anakubalika?
Kune matope yanaandikwa hapa jf. Haya ya kwako ni zaidi ya uharo. Siku huyo mzee akiapishwa kuwa rais mi ntaenda kujinyonga kwenye paa la uwanja wa Taifa ili kila mtu aone.
Dr. Bilal umri nao unaelekea machweo, sidhani kama hata yeye mwenyewe ana wazo la kugombea. Kwa jinsi watu walivyoichoka ccm, bila kupatikana mgombea kijana basi tutegemee uchakachuaji wa kura kwa mara nyingine.
Dr. GB anayo makundi!
Asingekuwa na makundi angekuwa rais wa Zanzibar badala ya Shein.
Labda atajaribu tena Zanzibar 2015. Anawafuasi wengi wazuri tu.
wakimuweka Shein nitawaona wana akili sana kuliko kumuweka huyu Bilal...Bilal wamrushie huko Zanzibar